Watumishi FC

Watumishi FC

Share

Dhumun La Kikundi Hk N Kupeana Taarfa Za Mech Zetu Ndan Na Nje Ya Halmashaur Ya Wilaya Bukoba Vijijin.

08/05/2021

juzi tareh 5/5/2021 jumatano kwenye UMITASHUMITA tarafa Rubale walimu washirik wa timu ya watumishi (WATUMISHI FC) wanaenda tuifufue tena. Ar u ready......!!!!!!

14/07/2019

ndg watumish BUKOBA DC 2nafanya mazungumzo na timu ya BUKOBA MANISPAA il 2one km jumapl ya 28.07.2018 kucheza mech ya marudiano ktk uwanja wa s/m RUGAZE. ikumbukwe 2lienda kwao tar 28.10.2018 uwanja wa KAITABA matokeo mnayakumbuka. hvo bas kila mtu mahal alko apge mazoez. ntawajulishan zaid uhakika ukishakuwepo.

31/05/2019

Ndg zng watumish nadhan mech tuloitegemea jpl ilopta ilshndkana kutokana na hal nzur ya hewa ya mvua.
hvo bs kwa wale wanaokarbia kwenda lkzo niwatakie maandalz mema ya lkzo zao. msafr slm na kurejea slm mwez julai,2019. ambapo 2kutane tena kwa mipango mipya ya kaz zet. alaf pia maandalzi mengne ya mech hyo itakayo kuwa shm ya mipango ya: (i)kurudiana na tmu ya manispaa BMC 2locheza nayo kaitaba.
(ii)ni uwanja up hyo mech ichezewe.
(iii)mikakat ya upata matokeo nyumban.
PAMOJA SN WATAALAMU.

*SOLDARITY...*

26/05/2019

Timu yetu ya watumish BUKOBA DC. Ilianzishwa rasm tar 08.05.2015. siku hy ilcheza mech dhid ya KIKAGATI FC ktk uwanja wa S/M KIKAGATI. iliweza kushnda 3-1
WASHIRIKI WAKIWA NI: 1.Mwl.Meshack Johnson 2.Maduhu Magembe 3.Optatius Sabas orgnizer 4.Fastone Stanford 5.Kaluba Kalangira 6.Dr.Saimon Manga 7.Mwl.Petson Reveliane 8.Mwl.Kalekez 9.Afidhu Hashmu 10.Martine Costantine 11.Justus Rugemalila.
Nipende kuwashukuru watumish wote wanaozd kujitoa kwa muda wao na gharama kuchangia tmu, kusafr na kuweka hamasa il kuweza kukuza mahusiano mema kat etu. kuptia ushirikiano hu 2meweza kucheza mech mbalmbal kwa mafanikio. kwa ss tmu yet imeweza kuwa kubwa kwan inawatmish kutoka kata zifuatazo.
1.Izmbya 2.Kyaitoke 3.Kibirizi 4.Rubale 5.Nyakigando 6.Ruhunga 7.Mugajwale 8.Katoro 9.Lyamahoro.
Ndg ndg mtumish ambae bd hauko nas hata km co mchezaj lakn nmpnz wa tmu yetu kuwa nas kuptia 1.facebook/watumishi FC. 2.0763351243 3.Mwl.Burwe Rubale Sec 4.Mwl.Baraka 5.Mwl.Justus Katelero 6.Kachelo Katoro 7.Mwl.Kulwa & Santa Lyamahoro

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address


Dar Es Salaam