Bryan Spots story

Bryan Spots story

Share

Sports Story/News

20/11/2023

Vituko huko Brazil.

Kwenye mchezo kati ya Corinthians dhidi ya Gremio.

Dakika ya 7: Corinthians walipata mkwaju wa penati. Lakini VAR ikabadilisha uamuzi wa refa, na penati haikutolewa.

Dskika ya 10: Mchezaji wa Corinthians alicheza rafu ya hatari kwa mchezaji wa Gremio, refa akamuonyesha kadi ya manjano. Lakini VAR iliingilia na kumfanya refa afute kadi ya njano, na kumuonyesha kadi nyekundu.

Wakati mechi inaendelea. Kocha wa Corinthians, alionekana akiondoka uwanjani, na alielekea chumba cha VAR na kutembeza kichapo kwa marefa waliyokuwa mule ndani.

18/11/2023

😄 Hiki ndicho alichokumbana nacho Messi na Argentina yake alfajiri ya leo wakichapwa bao 2-0 dhidi ya Uruguay kwenye mechi za kufuzu michuano ya WC 2026 kwa Kanda ya Amerika Kusini.

Uruguay wapo kwenye kiwango cha ndoto yao! Marcel Bielsa anaitengeneza moja ya timu ya kutisha mno yenye mseto mzuri wa wachezaji!

Araujo, Fede, Nunez na vijana wengine wanaungana na wakongwe k**a kina Suarez kurejesha makali ya kikosi hiki✅

Wanacheza k**a Chile ya 2016😄

Wahuni wengi✅
Wanacheza mpira ✅
Wanacheza mtu ✅
Wanakaba haswaa ✅
Wanakimbia uwanjani ✅
Wapo wengi kila eneo ✅

Lile goli la Araujo limetokana na Pressing ya Amerika Kusini haswaa🔥🔥
Tough and Rough football is a decorated beautiful game🔥✍️

Kuna mpira wa dunia alaf kuna mpira wa Amerika Kusini 🔥🤔🙌 Pure Art

17/11/2023

🎙️Van Dijk: "Kuna washambuliaji wengi wazuri ambao nimecheza dhidi yao, Messi, [Sergio] Aguero, [Erling] Haaland ni mgumu kwa sababu ana kila kitu, lakini Giroud Ndio mshambuliaji hatari zaidi kwasababu ni bogeyman wangu - anakasirisha kumkaba!"

24/10/2023

🚨🇵🇹| Nani:

"Siku moja, Alex Ferguson alituuliza k**a mmoja wapo angeweza kumpeleka nyumbani baada ya mchezo wa mwisho wa wiki dhidi ya Fulham. Nikasema: 'OK boss, Nitakupeleka mimi nyumbani, haina shaka!'.

Baadae kwenye mchezo, tukiwa mbele kwa 2-1, tukapata mkwaju wa penati na nikamuomba Giggs aniruhusu nikaipige. Akanikubalia, lakini nikakosa ile penati na Fulham FC Official wakasawazisha kufanya iwe 2-2 ilikuwa dakika ya 88...

Baada ya mchezo, k**a ilivyokuwa imepangwa, Nikamchukua Sir Alex kwenda nyumbani lakini hakuongea na mimi njia nzima."

05/10/2023

⚽⚽⚽ Nilishinikizwa kusema Messi ni bora kuliko Ronaldo ili niichezee Barcelona - Kevin

Kevin-Prince Boateng ambaye aliichezea timu ya taifa ya Ghana kabla ya kustaafu, kwenye mahojiano mapya na Rio Ferdinand amesema kwamba wakati alipojiunga na Barcelona aliulizwa kati ya Messi na Ronaldo nani mchezaji bora duniani? huku akilazimishwa aseme Messi ndio bora zaidi la sivyo asingeichezea Barcelona japokuwa yeye alikuwa anaamini Ronaldo ndie bora zaidi na alikuwa anaisapoti sana Real Madrid hata wakati alipokuwa bado kijana mdogo

Kevin amesema huo ndio uongo mkubwa aliowahi kusema katika maisha yake japo kiuhalisia yeye huwa sio mtu wa kusema uongo

Vilevile Kevin, amesema Messi licha ya kwamba ndie alikuwa captain wa timu ila huwa haongei, waliwahi kuongea mara moja tu bafuni baada ya kuulizwa na Messi k**a ni ngumu kufunga magoli nchini Italy sababu Cristiano Ronaldo alikuwa huko kwa kipindi hicho? huku Messi akionesha ushindani baina yake na Ronaldo

Ambapo Kevin alimjibu Messi kuwa ndio ni ngumu zaidi kufunga magoli nchini Italy sababu ya Ronaldo ambaye pia alifunga katika kila mechi kwa miaka mitatu aliyokuwepo huko Italy

Kevin alienda Barceleona kwa mkopo na kucheza ndani ya muda mfupi, miongoni mwa timu nyingine alizochezea ni AC Milan

02/10/2023

🚨 Achraf Hakimi has to be The LUCKIEST Football Player out there! 😍🤯⬇️

At the age of 24, he has already Played along with :
— Cristiano Ronaldo
— Lionel Messi
— Neymar jr
— Sergio Ramos
— Karim Benzema
— Kylian Mbappe
— Erling Haaland
— Luka Modric
— Toni Kroos
— Angel Di Maria
— Gareth Bale
— Marcelo
— Romelu Lukaku
— Casemiro

The Only Player Ever to have Played with Both The GOATS & The Next Gen Superstars - Mbappe & Haaland! 🤯👌

HAKIMI IS SPECIAL ❤️

02/10/2023

JOSE MOURINHO MZEE WA MIND GAME.

🗣||Beki wa zamani wa Borrusia Dortmund Marcel Schemelzer alishangaa sana kocha Jose Mourinho alipomtuma akampe maelekezo Ozil bila kujali k**a wapo Timu Tofauti. Hii ilikuwa Mechi Ya UEFA Champions League kati Ya Timu Hizo,...

🗣||"Wakati Najiandaa Kurusha Mpira Nilishangaa Mourinho akinisogelea na kuniambia nenda kwa Ozil mwambie Aongeze Kasi wakati wa Kushambulia,Beki Huyo alishangazwa na Ujasiri Huo,Baada Ya kumpa Maelezo Yale ozil alifunga goli la Kusawazisha dhidi Ya BVB.....

LEGEND OF THE GAME

30/09/2023

JOSE MOURINHO 🇵🇹 2019

🗣 Baba yake na Xabi Alonso alikuwa kocha hivyo amekuwa katika mazingira ya kuujua mpira zaidi, nik**a ilivyo kwangu mana baba yangu alikuwa kocha pia ,Lakini utofauti yeye alitokea kuwa mchezaji mzuri sana kuliko mimi ambae nimetokea kuwa bora katika ukocha pekee

🗣 Ukiangalia nafasi yake anayo cheza ni eneo ambalo unatumia akili nyingi sana yani inamfanya mtu kuelewa mazingira ya mchezo kuliko hata wengine, Alonso ana akili ya mpira sana na najua atakuja kuwa kocha mkubwa sana baadae

🗣 Amecheza England 🇬🇧 ,Spain 🇪🇸 na Germany 🇩🇪 bila kusahau Amefundishwa na makocha k**a Rafael Benitez, Pep Guardiola, Carlo Ancelotti na mimi mwenyewe Jose Mourinho , inaonyesha nijinsi gani anavitu vingi vikubwa kichwani mwake kuhusu mpira na vitakuwa na faida kubwa k**a akiwa kocha hapo baadae

27/09/2023

Wanaoongoza kwa ufungaji bora wa magoli⚽ huko ulaya 🌏kwenye ligi tano bora🏟️

Top Goal Scorers In Europes Top 5 Leagues

EPL🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿
Erling Haaland 8.
Son Heung-Min 5.
Evans Ferguson 4.
Bryan Mbuemo 4.
Odsonne Edouard 4.
Jarrod Bowen 4.

La Liga🇪🇸
Jude Bellingham 5.
Robert Lewandowski 5.
Alvaro Morata 5.
Takefusa Kubo 4.
Alexander Sorloth 4.

Bundesliga.🇩🇪
Serhou Guirassy 10.
Harry Kane 7.
Victor Boniface 6.
Jonas Wind 5.
Kevin Behrens 4.

Serie A🇮🇹
Lautaro Martinez 5.
Olivier Giroud 4.
Dusan Vlahovic 4.
Andrea Pinamonti 4.
Federico Chiesa 4.

Ligue 1🇨🇵
Kylian Mbappé 7.
Mostafa Mohamed 5.
Ben Yedder 4.
Nabil Alioui 4.
Terem Moffi 3.

Follow...... Bryan Spots story

26/09/2023

🗣️João Félix: "Ndiyo, nilitoa kiasi kikubwa cha pesa kutoka kwa mshahara wangu. Lakini nilihitaji kubadilisha klabu, kwenda mahali ambapo ningeweza kucheza soka langu na siku zote niliamini kwamba Barca itakua mahali pazuri."

Félix: "Nilienda Chelsea na sasa nipo Barca kwa sababu sikuwa nafanya vizuri Atlético Madrid, sikuzoea mfumo wa klabu na kocha lakini siku zote nilikua nikijaribu kufanya vizuri kadri niwezavyo."

Félix: "nitasalia hadi Juni 2024? Inategemeana na msimu huu. Barça inaweza kufanya mazungumzo na Atlético, tuone k**a wataifanya kuwa rahisi. nitafanya kadri niwezavyo."

Félix: "Xavi aliniambia nifurahie uwanjani. mambo yanakwenda vizuri sana hadi sasa, sikutarajia k**a yangeenda vizuri kiasi hichi katika hatua hii."

Félix: "nadhani Cancelo ndiye beki bora zaidi wa pembeni ambaye nimecheza naye. ana ubora wa ajabu.".......

26/09/2023

.....Unahisi mwamba ataweza kutoboa mbele ya ivyo vyuma hapo...???

26/09/2023
Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Dar Es Salaam