10/08/2026
Asali ya Masega husaidia kurutubisha mwili na kuongeza afya kwa mtoto hadi mtu mzima/wazee:
🌿Hutoa ulinzi dhidi ya mashambulio ya bacteria,fungus na virus kwenye damu (blood infections).
🌿Hutoa ulinzi wa fizi na meno.
🌿Huimarisha mifupa na kukuondolea maumivu ya mgongo na miguu.
18/03/2026
🌿We are advancing sustainable income generation for women and youth through a Beekeeping Training Program that integrates technical skills with business development.
🌿This initiative addresses unemployment, promotes forest restoration, and strengthens climate-resilient livelihoods.
🌿We invite retirees to engage in this low-risk, impact-driven opportunity, and welcome collaboration with NGOs and partners working in youth empowerment, conservation, and climate action.
🌿Contact us through 0717944435 for more details.
18/03/2026
🔥 UNATAFUTA WAZO LA BIASHARA YA KUKUONGEZEA KIPATO KWA HARAKA 🔥
🌿Acla Honey tunakupa fursa ya kuwa msambazaji wa bidhaa inayosaidia kuboresha afya ya kina mama,baba na watoto yaani jamii nzima kwa ujumla.
🌿Asali ni bidhaa inayouzwa KILA SIKU:
afya, lishe, tiba asilia—wateja hawakauki.
K**a unaweza kuuza sukari, soda au mchele,
BASI UNAWEZA KUUZA ASALI.
Hii si ajira—ni biashara inayokupa hela kwa mikono yako mwenyewe.
✔ Unanunua asali kwa BEI YA JUMLA
✔ Unauza kwa BEI YA SOKO
✔ FAIDA ni yako moja kwa moja
✔ Hakuna kodi ya duka
✔ Hakuna kusubiri malipo ya mteja
📦 Tunakupa bidhaa katoni zenye pisi 20 za ujazo wa 250g kwa Tsh 130,000.
📊 Tunakupa mwongozo wa mauzo
💰 Wewe unachukua faida,Tsh 25,000 nakuendelea.
Karibu,kwa mawasiliano zaidi 0717944435
02/03/2026
Kwa suluhisho la haraka la mafua yaliobana na mwili uliochoka,tumia vijiko viwili vya Asali ya Acla Stingless Bee Acla Honey Enterprises Ltd
WhatsApp 0717944435 for order.
28/02/2026
🌿Tumia Acla Stingless bee Honey kijiko kimoja asubuhi,mchana na jioni ili kuongeza kinga ya mwili dhidi ya maambukizi ya uviko 19.