Swahili-Talk COCO-CARTOON
SEHEMU YA PILI: 𝐔𝐒𝐈𝐊𝐔 𝐖𝐀 𝐀𝐉𝐀𝐁𝐔 𝐖𝐀 𝐌𝐈𝐆𝐔𝐄𝐋
Lakini nyumbani hali ilikuwa tofauti…
Bibi Elena anataka Miguel afanye kazi za familia
Baba yake anataka awe mtoto wa nidhamu, si muimbaji.
Dada yake Sofia yeye anajali tu kula na kucheka 😂
Miguel akajikuta katikati ya vita:
👉 Ndoto yake VS familia yake
Siku moja usiku, akiwa peke yake, Miguel aliangalia gitaa lake, akasema:
“Kama sitafuata ndoto yangu… nitabaki nani?” 😔
Na hapo ndipo…
👉 safari ya ajabu kabisa ilipoanza…
Kuna siku moja tu inaweza kubadilisha maisha yako yote… na kwa Miguel, hii ndiyo siku yenyewe.
Ilikuwa ni usiku wa sherehe kubwa kijijini … watu walikuwa wanacheza, wanakula, wengine wanapiga stori k**a kawaida. Lakini kwa Miguel, huo haukuwa usiku wa kawaida.
Alikaa pembeni, akiwatazama watu wanavyofurahia muziki… moyo wake ukawa mzito 😔
Akasema kimoyomoyo: “Wao wanaruhusiwa kufurahia muziki… mimi kwanini sipaswi?”
Ghafla akili yake ikamwambia,
“Leo ndiyo siku ya kufanya maamuzi.”
Miguel akaamka taratibu, akaondoka kimya kimya k**a mwizi wa kuku 😂
Akaelekea mahali palipokuwa na picha ya msanii wake mkubwa aliyekuwa anamkubali sana.
Alisimama mbele ya picha ile, macho yake yakiwaka k**a taa ya tochi
Akasema:
“Kama kweli nina kipaji… basi leo lazima nithibitishe!”
Pale karibu kulikuwa na gitaa ya zamani sana… ya kuvutia k**a ina historia ya ajabu.
Miguel akaisogelea taratibu…
“Mmmh… hii si gitaa ya kawaida…”
Lakini kwa kuwa ndoto zilikuwa zimemjaa kichwani, hakujali sana. Akaishika, Akaipiga mpigo mmoja…
“TING!!!” 🎸
Ghafla… dunia ikabadilika 😳
Upepo ukavuma kwa nguvu 🌪️
Mwanga wa ajabu ukaanza kuzunguka kila upande...
Miguel akasema kwa mshangao:
“Hii nini tena?!
Alipofungua macho vizuri…
Alijikuta mahali ambapo si pa kawaida kabisa…
Watu waliokuwa wanatembea pale hawakuwa watu wa kawaida…Walikuwa ni mifupa! 💀💀
ITAENDELEA.
Follow page yetu Swahili-Talk
Swahili-Talk
Official Swahili-Talk page
Stori za muziki, burudani, michezo na hadithi hapa ndipo mahali pake
Fuatilia hii page ili kuweza kuitazama hii movie mpka mwisho.
Usisahau KutuFollow
Swahili-Talk
Follow Swahili-Talk
Je umewahi kukutana na hii video ila haujatazama movie mpka mwisho???
Jina la movie ni COCO-CARTOON
Kabla haujaendelea kusoma. Follow page hii👆
SEHEMU YA 𝟎𝟏- 𝐍𝐃𝐎𝐓𝐎 𝐘𝐀 𝐌𝐈𝐆𝐔𝐄𝐋 𝐑𝐈𝐕𝐄𝐑𝐀
“Kila ndoto ina mwanzo wake… na hii ni hadithi ya mvulana mmoja aliyeamua kupambana na dunia nzima kwa ajili ya ndoto yake 🎸”
Leo nawarudisha nyuma mpaka mwaka 2017, katika kijiji kidogo palipojaa kelele za watu na harufu ya vyakula vya mama… hapo ndipo aliishi mvulana mmoja aitwaye Miguel Rivera.
Miguel alikuwa mtoto wa kawaida tu, lakini kichwani alikuwa na ndoto isiyo ya kawaida – alitaka kuwa msanii mkubwa wa muziki 🎶.
Lakini shida ilianzia pale nyumbani…
Familia ya kina Mama Elena (bibi yake) ilikuwa na sheria kali sana:
👉 “HUMU NDANI HAKUNA MUZIKI!” 😤
Sasa fikiria wewe unataka kuimba, halafu bibi yako anakwambia muziki ni k**a ugonjwa wa kurithi 🤦♂️… si ungechanganyikiwa kidogo? 😂
Siku moja, Miguel alijificha juu ya dari ya nyumba yao, akachukua gitaa lake la zamani, akapiga mpigo mmoja wa gitaa 🎸…
“TING!”
Ghafla tu…
“Ni nani anapiga hicho kitu hapo juu?! 😡”- sauti ya bibi Elena ilisikika k**a radi! ⚡
Miguel alijikuta anatetemeka k**a mtu aliyek**atwa anakula chakula cha siri usiku 😂
Akajibu kwa sauti ya chini:
“Hapana bibi… ni upepo tu unapita…”
Bibi Elena akasema:
“Upepo gani unapiga gitaa?! Shuka hapo haraka!”
Miguel akashuka taratibu, moyo ukidunda k**a ngoma.
Lakini pamoja na hofu yote hiyo… hakuwahi kuacha ndoto yake.
Kila siku alikuwa akimuangalia kwa siri msanii wake anayempenda sana (aliyekuwa k**a shujaa wake), akijiambia:
“Siku moja na mimi nitakuwa k**a yeye… watu watanipigia makofi 👏 na nitafanya muziki wangu usikike kila mahali duniani 🌍”
Lakini nyumbani hali ilikuwa tofauti…
ITAENDELEA..
Endea kufuatilia mwendelezo mpka mwisho bila kukosa.
Follow page yetu kuwa mwanafamilia wetu Swahili-Talk
17/02/2025
JE, UNAMPENDA LAKINI HAUJUI JINSI YA KUMTONGOZA?
💘 Unataka kumvutia na kumfanya akufikirie kila siku?
🔥 Unahitaji mbinu za kutongoza na kushikilia penzi lake milele?
Sasa siri zote za ushawishi wa kimapenzi zimewekwa wazi!
Kumvutia mtu unayemtamani si bahati nasibu, ni sanaa inayoweza kufundishwa! SANAA YA UTONGOZAJI ni mwongozo wa hatua kwa hatua utakaokusaidia kumteka kimapenzi mtu unayemtaka na kuhakikisha anakushikilia milele.
KITABU HIKI KITAKUFUNDISHA:
❤️ Mbinu za awali za kuvutia mtu kimahaba bila kuonekana unajitahidi sana.
🔥 Jinsi ya kuanzisha mazungumzo ya kuvutia na yenye ushawishi.
💋 Sanaa ya mawasiliano ya kimapenzi—maneno, mwonekano, na lugha ya mwili.
🎯 Njia bora za kujenga mvuto wa kudumu na kuhakikisha unashikilia penzi lake.
🔑 Makosa makubwa ya kuepuka ili usije ukaharibu mvuto wako.
Na nyingine nyingi.
NANI ANAPWA KUPATA NAKALA HII?
✔️ Yeyote anayehisi hana mvuto wa kutosha na anataka kubadilika.
✔️ Wanaume na wanawake wanaotaka kuwa wajuzi wa kutongoza na kudumisha mahusiano.
✔️ Wale ambao wanataka kumvutia mtu fulani lakini hawajui pa kuanzia.
JIPATIE NAKALA YAKO LEO!
📞 Agiza sasa kwa kupiga simu namba 0719042919
📍 Kinapatikana kwa mfumo wa nakala laini (soft copy)
💸 Kwa gharama ndogo jipatie nakala hii
⏳ Nakala chache zimebaki – Usikose nafasi yako!
NB: Usikose mbinu hizi za kipekee za kutongoza na kumvutia mtu bila kupambana! Agiza sasa na anza safari yako ya kuwa mtaalam wa mahaba.
09/09/2023
Timu ya Tanzania (Taifa stars) imefuzu kushikiri michuano ya mataifa ya africa (AFCON) italayofanyika january 2024 huko nchini ivory cost baada ya kupata suluhu ugenini dhidi ya timu ya taifa ya Algeria.
Na huu ndo msimamo ya kundi F baada ya round zote kukamilika
Welcome to my page
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Website
Address
Dar Es Salaam