lets keep on
Kidete Development Society
Sports Event
umoja wa wanakidete (KIDETE DEVELOPMENT SOCIETY) unawakumbusha kuwa tar 27/04/2014 ni siku ya kikao kitakachofanika katika ukumbi wa MSIMBAZI CENTRE kuanzia saa 8:00 mchana
AJENDA KUU
1.KUFUNGUA KIKAO
2. TAARIFA ZA USAJILI WA KATIBA
3.KUWAKARIBISHA WAJUMBE WAPYA.
4.KUKUSANYA MICHANGO.
5.KUPANGA TAREHE YA UZINDUZI RASMI WA JUMUIA YETU.
6.MENGINEYO.
7.KUFUNGA KIKAO.
Fika bila kukosa, utatapo taarifa hii mjulishe na mwenzio
Imetolewa na
Katibu msaidizi
KIDESO
umoja wa wanakidete (KIDETE DEVELOPMENT SOCIETY) unawakumbusha kuwa kesho tar 16/03/2014 ni siku ya kikao kitakachofanika katika ukumbi wa MSIMBAZI CENTRE kuanzia saa 8:00 mchana
AJENDA KUU
1. TAARIFA ZA USAJILI WA KATIBA
2. MICHANGO YA KILA MWEZI
Fika bila kukosa, utatapo taarifa hii mjulishe na mwenzio
Imetolewa na
Katibu msaidizi
KIDESO
have a nice dAY
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Telephone
Website
Address
Tabata Kimanga
Dar Es Salaam
11203