Exaud Msaka Habari

Exaud Msaka Habari

Share

Karibu Michezoni

30/01/2026

Jeshi la Uganda limekiri kuwa wanajeshi walimk**ata kwa muda mfupi Barbara “Barbie” Kyagulanyi, mke wa kiongozi wa upinzani Robert Kyagulanyi Ssentamu maarufu k**a Bobi Wine, na baadaye kumuachilia huru, huku wakiashiria kuwa alisaidia katika jitihada za kumtafuta mumewe.

Katika chapisho kwenye mtandao wa X, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, Kiongozi wa Jeshi la Ulinzi wa Wananchi wa Uganda, ameweka picha ya Barbie wakati wanajeshi walipochukua hatua hiyo usiku wa Januari 23 katika eneo la Magere, Wilaya ya Wakiso.

Jenerali Kainerugaba alisema: “Walimk**ata na kisha kumuachilia huru Kabobi wake, Barbie. Alikuwa msaada mkubwa katika kutupatia taarifa za mumewe.”

Hata hivyo, Jenerali Kainerugaba ameikana madai ya kudhalilishwa kwa mke huyo. Ameashiria kuwa jeshi halimdhalilishi wanawake na lengo kuu ni kumtafuta Bobi Wine, sio kuwadhalilisha wanafamilia wake.

Tukio hili linatokea katika hali ya utafutaji mkali wa Bobi Wine, ambaye amekuwa mafichoni kufuatia uchaguzi wa rais uliofanyika Januari 15, ambapo matokeo rasmi yalionyesha Rais wa sasa Yoweri Museveni kuibuka na ushindi wa muhula wa saba.

Photos from Exaud Msaka Habari's post 10/03/2024

TANGAZOOOOOOO.........

Duniani sasa Betting bora ni IXBET, ina Odds za tofauti kabisa na pesa ya kutosha

Kwa Tanzania ili kujisajili nicheki haraka ili weekend hii usikae kinyonge kabisa

Namba ya Exaud Msaka Habari ni 0752402602 mcheki WhatsApp ili ujisajili

Kumbuka ukitumia Promo Code ya MSAKAHABARI una uhakika wa kupata bonus Mara mbili ya pesa uliyoweka kwa mara ya kwanza.

Mcheki kwa WhatsApp ya 0752402602.

11/11/2023

Ukidownlod App ya 1XBET na ukajisajili kwa kutumia Promo Code ya MSAKAHABARI basi unapata bonus ya asilimia 200 ya pesa ambazo umeweka kwa mara ya kwanza

Jinsi ya kufanikisha kuweka na kutoa pesa nicheki WhatsApp 0752402602

Hii ndio link ya kijisajili na 1XBET ili kupata Bonus kwa asilimia 200

MAELEKEZO:

1. Nenda kwenye neno Registration

2. Nenda kwenye neno BY PHONE

3. Kwenye Promo Code jaza neno MSAKAHABARI (liunganishe k**a lilivyo)

Baada ya kukamililisha kujisajili wasiliana nami kwa WhatsApp kwa namba 0752402602 ili uweze kuweka pesa na kupata bonus yako ya uhakika

https://refpa1364493.top/L?tag=d_2572633m_1573c_&site=2572633&ad=1573

15/10/2023

Jisajili sasa na 1XBET kwa promo code ya MSAKAHABARI upate bonus ya hadi asilimia 200

Kumbuka Promo code ni MSAKAHABARI

Kwa maelezo zaidi nicheki WhatsApp 0752402602

Exaud Msaka Habari Karibu Michezoni

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Dar Es Salaam
14112