Yanga Sc Group of Supporters

Yanga Sc Group of Supporters

Share

Page hii ni maalumu kwa Mashabiki wote wa Yanga Sc.....
Yanga Sc Group of Supporters
#USHINDI NI TABIA YETU

14/05/2026

Uwanja unaenda kujengwa 🔥

14/05/2026

Kigomaaaaaaaaa

14/05/2026

Alifunga goli against Simba tukapata sare , hayo ni makosa ya kawaida kwenye mechi hatutakiwi kususa

13/05/2026
13/05/2026

Pedro alikuwa anashinda ila analaumiwa , haya huyu anae fungwa lawama anaepuka vipi?

Maamuzi ya kumfukuza Pedro yalikuwa ya kishabiki hayakuzingatia weledi

Wengi mtapinga ila hata huu Ubingwa tunaweza kuukosa msimu huu kwa sababu ya maamuzi yaliyofanyika

Eti kwa sababu Influencers wamesema kocha mbaya basi ndio anafukuzwa , tumekuwa na Unbeaten yetu wakati wa Pedro na bado gap la point lilikuwa 5

Mechi mbili tu baada ya Pedro kuondoka tumefungwa kwa mara ya kwanza

13/05/2026

Bora uwe na kocha anae shinda mechi kuliko kuwa na kocha anae taka kuburudisha mashabiki

13/05/2026

Tujifunze kuheshimu taaluma za watu

13/05/2026

HT
Dodoma Jiji 1 Vs 2 Yanga Sc

13/05/2026

Kila laheri Wananchi katika Mechi ya leo

13/05/2026

Hizi taarifa za Fenerbache kumtaka Star wetu zina ukweli ?

12/05/2026

Arusha Stadium 🙌🙌🙌 Tusubiri GSM Stadium sasa

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Dar Es Salaam