Mama Botuoer and American dream cocoa butter

Mama Botuoer and American dream cocoa butter

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mama Botuoer and American dream cocoa butter, Sinza, Kumekucha, Dar es Salaam.

15/02/2025

FIX DERMA SHADOW
SPF 50+Gel
Hiii ni sunscreen nzur sana
Ipo very light haiachi ule weupe kwenye ngozi
Ni nzur sana kwa watu wenye ngozi ya mafuta na chunusi
K**a una sensitive skin ni sunscreen ni nzur sana kwako imetengenezwa maalumu kwa ajili ya sensitive skin

Ipo dukani
Bei ni sh 40,000
Call/whatsup #0713442025
Tupo sinza kumekucha kituoni kabisa
Delvery tunafanya

15/02/2025

GARNIER PURE ACTIVE CHARCOAL ANT-BLACKHEADS PEEL OFF MASK

♻️with salicylic acid
♻️hii ni ususani kwa wenye oil skin
♻️husaidia sana kuondoa tatizo la blackheads
♻️inasaidia sana kuzibua pores kwenye uso
♻️unapaka unaiacha ikauke kisha unaibandua (peel off mask)
♻️inaondoa uchafu mwingi ambao scrub na mask za kawaida haziwez kuondoa
♻️inasaida hta kukausha chunus usoni
♻️inaondoa deadskin
♻️ni nzuri mno mno
♻️ngozi inakuwa very smooth n soft

Ipo dukan
Bei ni sh 35,000
Duka letu lipo sinza kumekucha kituoni
Call/whatsup #0713442025
Delvery pia tunafanya

15/02/2025

CANTU SHEA BUTTER BODY BUTTER

This is the best body butter

Kwanza kabisa inanukia vizur mnooooo👌
Ni mafuta mazur mno yanafanya ngozi yako iwe soft n smooth

Ina shea butter, cocoa butter na vitamin E ambazo ni best ingredients kwa ngozi yako...
Inakupa rangi moja mwili mzima na kuondoa madoa doa yote mwili

Ukipenda kung’aa zaidi unaweza kuchanganya na botuoer ndan yake yanii utakuwa na ngozi km ya mtoto
No fake zonee kitu og kbs
Bei ni sh 40,000

Call/whatsup #0713442025
🇹🇿 🇹🇿

15/02/2025
15/02/2025

BALANCE ACTIVE FORMULA VITAMIN C LIQUID GEL PEEL
Glow n radiance
Ni liquid gel peel nzur sana
🌟ina 3%fruit acid na 2% AHA
🌟Hii mask ni nzuri sana kwa kutengeneza ngozi yako
🌟inaondoa ngozi yote iliyokufa (dead skin cell)
🌟inang’arisha ngozi vizur sana
🌟inafanya ngozi inaglow na inakuwa na mvuto na afya
🌟 k**a uso wako upo rough una chunus na mabaka ni mask ni kiboko kabisa
🌟inaondoa uzee na makunyanzi
🌟ngozi inakuwa na rangi moja
‼️MATUMIZI
Unapaka hii mask uso wako ukiwa mkavu kabisa unapaka usoni mpk shingoni unaiacha kwa dakika 3 then unaosha uso wako na maji safi then baada ya hapo unapaka serum yako au moisturise yako
Kwa matokeo mazur tumia mara 2 mpk 3 kwa wiki

Zipo dukani bei yake ni sh 40,000
Call/whatsup #0713442025
Duka letu lipo sinza kumekucha kituoni
Delvery pia tunafanya

15/02/2025

BALANCE ACTIVE FORMULA
NIACINAMIDE BLEMISH RECOVERY SERUM
Calm&clere

Hii serum inasaidia sana watu wenye chunus na rough skin
Inakufanya unakuwa soft
Inapooza wekundu usoni
Ni nzur sana kwa watu wenye rough skin

Bei ni sh 35,000
Duka letu lipo sinza kumekucha kituoni kabisa
Call/whatsup #0713442025
Delvery pia tunafanya

15/02/2025

BALANCE ACTIVE FORMULA

Vitamin c brightening serum

This is among the best serum eveer na ina maajabu sana kwenye ngoz yako

Inafanya vizur mnooo kwenye ngoziii inasaidia kurudisha nuru kwenye ngozi yako
K**a ngozi yako imefubaa inasaidia sana kurudisha rutuba kwenye ngozi
Ngozi inakuwa shothie n soft
Inaondoa madoa na chunus
Inarudisha collegen kwenye ngozi
Zipo aina tano tofauti kila moja ina kazi yake
Inasaidia kurudisha collegen kwenye ngozi
Zipi dukani

Bei ni 35,000 kwa kila moja

Tupo sinza kumekucha kituoni kabisa

15/02/2025

BALANCE ACTIVE FORMULA
Hyaluronic deep moisture serum
Intense hydration
Hii serum ni nzuri sana
Inasaidia kuweka unyevu unyevu kwenye ngozi yako
Jinsi umri unavyokwenda viwango vya hyaluronic acid vinakuwa vinapungua kwenye ngozi yako na kuifanya ngozi ionekane imesinyaa na kukosa nuru sasa usikubali hii hali ikukute
Hii serum itakusaidia kuweka hyaluronic na kuipa ngozi yako nuru na kuifanya ngozi iglow muda wote
Inasaidia pia kukaza ngozi ngozi inakaza vizur na kung’aa muda wote
Inasaidia kutoa makunyanzi
Inazuia ngozi isizeeke

Bei ni sh 35,000

Duka letu lipo sinza kumekucha
Delivery pia tunafanya
Call/whatsup #0713442025

15/02/2025

BABY DOVE SHOWER GEL ZIPO DUKAN
Hizi ni shower gel za watoto unamuogeshea from head to toe
Zimetengeneza maalumu kwa ajili ya watoto hvyo hazina madhara yoyote
Na wala hazina harufu ya kumkera mtoto hta k**a ana allerge
Zipo dukan
Bei ni sh 25,000
Call/whatsup #0713442025
Duka letu lipo sinza kumekucha kituoni
Delvery pia tunafanya

15/02/2025

Ingrams body cream
Hizi body cream ni nzuri sana esp kwa watu wenye matatizo ya ngozi k**a vile:

Eczema
Ngozi inayowasha
Ngozi kavu
Mabaka mwilini
Ngozi iliyoungua na jua
Husaidia kumoistarize ngozi

Hizi products ni kiboko na zimepitishwa hadi na madaktari wa magonjwa ya ngozi na zina chemical za aina yoyote

Inafaa kwa watoto na hata watu wazima

Bei ni sh 20,000
Tupo sinza kumekuchaa
Delvery pia tunafanya
Call/whatsup #0713442025

15/02/2025

SOAP & GLORY ENRICHED BODY OIL

Ni oil nzur sana ya mwilini

Hiii oil inanukia YAMMY👌 ina harufu nzur sana iliyopoa haikeri mwilini na harufu yake inakaa mwilini muda mrefu

Inafanya ngozi inakuwa soft inateleza ngozi inakiwa so smooth👌

Inaweka unyevu unyevu kwenye ngozi na kufanya ngozi iglow

Inasaidia kufifisha streach marks
Ni oil nzur sana na inatumika kwa watu wote

Ipo dukan bei ni 50,000
Duka letu lipo sinza kumekucha kituoni kabisa
Call/whatsup #0713442025
Delvery pia tunafanya

15/02/2025

XIS-Y DARK SPOTS CORRECTING GLOW SERUM
Ni serum nzur sana ya kuondoa madoa ina Niacinamide ambayo inasaidia kuondoa madoa ya chunus kung’arisha ngozi na kutibu blemishes

Ina squaline inayoipa ngozi unyevu na kuifanya iglow vizur

Ni gel type serum ambayo inaifanya ngozi iglow vizur

Inatumika k**a serum nying ambayo unaipaka asubuh na jion baada ya toner (k**a unatumia toner)

🌟inatibu chunus
🌟inaondoa madoa
🌟inang’arisha
🌟Inaondoa highpegimentation

Neut sana kwa watu wanaosumbuliwa na madoa sugu

Ipo dukan bei ni sh 55,000 kwa kila moja
Duka letu lipo sinza kumekucha
Call/whatsup #0713442025
Delvery pia tunafanya

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address


Sinza, Kumekucha
Dar Es Salaam
01000