Yanga Daily News

Yanga Daily News

Share

YANGA KWANZA🔰

Karibu........... Loading

TOA MAONI NITA-LIKE MAONI YAKO.

ULIZA SWALI NITAKUTAFUTIA JIBU KAMA SILIJUI

[ Sports Analytics | Sports Statistics |
| News & Updates |
Transfer News | Rumours | Transfers ]


For More Info, Inbox Me

12/01/2026

🆕 KWA UFUPI HAKUNA KILICHOBADILIKA

Kiungo wa Singida Black Stars Marouf Tchakei amerejea kwenye klabu yake.Awali Yanga walikubaliana kumchukua Marouf Tchakei kwa mkopo hadi mwisho wa msimu baada ya dili ya kiungo mshambuliaji Allan Okello kusuasua.

Lakini Ujio wa Allan Okello ndani ya kikosi cha Yanga kwenye dirisha hili dogo la usajili limemuondoa Kiungo Marouf Tchakei kusalia ndani ya Yanga kutokana idadi ya wachezaji wa kigeni kuzidi.

Hakuna Kilicho Badilika Kiungo Mousa Balla Conte na Mohammed Doumbia watajiunga na Singida Black stars hivi karibuni k**a sehemu ya makubalino baina ya Yanga na Singida Black stars.

✍️ Hans Rafael14

11/01/2026

Ujumbe umfikie

11/01/2026

🆕 NYOTA WA YANGA SC, ALLAN OKELLO ATAWASILI TZ KESHO..🔰

Nyota mpya wa Yanga Allan Okello ataingia nchini siku ya kesho kujiunga na kikosi cha Yanga kwa majukumu yake mapya ndani ya timu.

11/01/2026

Nilitaka kushea mkeka huu na nikaacha maana musingetumia, bado mbili nipate mtaji

10/01/2026

🆕 : TCHAKEI HANA UHAKIKA WA NAMBA

Malouf Tchakei yupo kwenye uangalizi na kocha wa Yanga Pedro Gonçalves 🇵🇹 k**a anaweza kufit kwenye mfumo wake .

Baada ya deal la Allan Okello kukamilika kuna Asimilia kubwa ya Tchakei kurudi Singida BS, Akihofia kukosa namba mbele ya ALAN OKELO...

09/01/2026

Hii mechi si ya kutazama, maamuzi si mazuri. Nikalale tu.

Usiku Mwema

09/01/2026

FAINALI NI YANGA VS AZAM FC
BOMBANI STUDIUM

09/01/2026

MASHABIKI WA CAMEROON TUJUANE 🕺

09/01/2026

UWANJA WA PRINCE ABDALAH MOURAY UNAPENDEZA

09/01/2026

🇲🇱 🚨 Golikipa wa Mali Djigui Diarra amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Mchezo Robo final Mali dhdi ya Senegal



09/01/2026

MAXIIIIIII

54" GOOOOOL
Game On

09/01/2026

Mechi ya Senegal na Mali vinapigwa vichwa vichwani sana 🙌

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Address


Dar Es Salaam
Dar Es Salaam