Tawi La Mpira Kazi - Wazee Wa Show-AZAM FC

Tawi La Mpira Kazi - Wazee Wa Show-AZAM FC

Share

Official Fans page for AzamFc

"Timu bora Bidhaa bora" "Azam juu"

13/11/2025

🔜

Tunatarajia kukipiga dhidi ya AS Maniema Union kwenye mechi yetu ya kwanza ya hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika, itakayofanyika Uwanja wa Stade Des Martyrs, Kinshasa, DR Congo, Novemba 23, 2025, saa 10.00 jioni (saa za Afrika Mashariki).

18/10/2022

Karibu sana chamazi...

15/10/2022

Jezi yako ya Azam FC ndio tiketi yako kesho Jumapili Azam Complex!

REMONTADA Inawezekana!

Vaa jezi yako yoyote ya msimu wowote ya Azam FC, halafu tukutane Azam Complex tukapindue meza kibabe.

15/10/2022

Usikose... Tareh 16/10/2022 jumapil saa 1 kamili jion...

08/04/2022

Happy karume day..

Photos from Azam FC's post 20/01/2020

Kiungo mpya kaanza Tizi

23/08/2019
21/08/2019

Don't miss...mapema tu tunatapisha uwanja

18/08/2019

Vijana wamepambana ila ndo mpira.tumekubal matokeo na tunajipanga na mech yetu ya marudiano ya comfederation hapa dar dhid ya waethiopia

Photos from Azam FC's post 08/08/2019

Jah bless

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Address


KIWALANI
Dar Es Salaam