07/10/2022
Karibu nikusaidie
↔️
Kwa Ratiba Sahihi za Lishe Na Mazoezi kujenga Afya karibu
📱 0685 618784
Personal Training Plan
Dm
⬇️
Certified Strengh & Condition Coach
Certified Fitness Instructor
Certified Professional Sports Nutritionist
Certificate Drug & Alcohol Awareness
Certified Nutrition & Hydration
Certified Post Operative Client
Mbaraka Mbwambo
TEL: 0714124039
:0685618784
©️ ALL RIGHT RESERVED 1 FITNESS 2022
▪️
▪️
▪️
▪️
▪️
❤️
13/11/2021
Protein 1kg
Zipo :
Offer : 50,000/=
Kazi yake : Kuongezs Muscles
Order:
Dm 📥
Or
Whatsapp: 0685 618784
▪️
▪️
▪️
▪️
▪️
16/03/2020
Be Safe Out There ...🎑
(Chukua Tahadhari na Jilinde)
Fuata Njia na Taratibu zote zilizotolewa na Wataalamu ilikuwa salama Katika Kila Hatuwa dhidi ya Maambukizi Ya Virusi Vya. Covid 19 - Corona !!⚠️⚠️⚠️ K**a Kushikana Mikono 🚫
Matembezi kwenye Misongamano🚷
Kunawa kwa Dawa yenye Alkohol 🚱
Hakikisha unakuwa salama Kwa kujilinda na kulinda wengine...🚸
Mungu Atulinde na Kutustiri Kwa Sote..🙏
22/02/2020
Leo Tutangalia Moja kati ya Suppliments amabazo ni :
Muhimu kutumia
haswa ukiwa unafanya weight Lifting yaani Kujenga mwili kwa Mazowezi ya kutumia Vyuma Vyenye ujazo ...
Supplement Yenyewe ni :
BEST GLUTAMINE
Mfanya Mazowezi anapo kuwa anafanya Mazowezi ipo chachu ya Madini Pamoja na Ujazo wa Virutubisho Vya Misuli hutumika na kupungua Kiasi kumpeleka mfanyaji mazowezi Asipokuwa makini kupoteza misuli ya ziada anayoijenga .
Kitaalamu Tunaita :
Muscle Protein
Glutamine
hutengeneza glucose ambayo huipa misuli nguvu na Kuipa Recovery kuweza kusaidia muscle Protein kuwa ktk level yake na mfanyaji Mazowezi kuweza kujenga Mwili.
Best GLutamine inapatikana kwa
Follow Page na Upate Kujifunza Mambo kadhaa wa kadhaa ya Mazowezi
Prepared by :
*Fitness and Healthy Consultant*
*Mbaraka MBWAMBO*
Instagram : muba_1_the_only
YouTube channel : muba_1_the_only1
Info : [email protected]
WhatsApp/Call : 0685 618784
©️2020
09/02/2020
Mazowezi Bila Lishe Sahihi hayawezi Kwenda Pamoja lazima Vitu hivi Vikae sawa kwa Huduma Ya manunuzi ya Lishe za Mazowezi karibuni sana :
Piga simu au WhatsApp : 0685 618784
11/07/2019
Dar cycling Team ikijaanda Kwa mazowez ya pamoja Siku ya Jumapili , 7 July
16/09/2018
Siku ya shindano la ubingwa Mkoa Dar es Salaam Tarehe 9-09-2018
09/09/2018
New official Cycling Leaders of Dar Es Salaam Region with Chair person of Cycling in Tz and Sports Regional Officers at office ilala
16/08/2018
Kwa Mahitaji Ya vifaa yakisasa Vya baiskeli na kupata Ratiba za Mazowezi Yakuimarisha Afya Karibu
Tuwasiliane
📲☎️ whatsapp / Call 0685618784