02/04/2022
Manchester united ni timu kubwa kibiashara na sio kiufundi
Ukitazama leo ilivyokuwa ikicheza unaweza kusema ni k**a Leister city ndio walikuwa. Nyumbani then ,Man u ipo A way... Performance mbovu sana.aikustahili Ushindi wowote siku ya leo
Ukinambia bado kuna matumaini ya 🔝 4 sidhani k**a nitakusikiliza tena. Wachezaji wote fitness yao aiko sawa ndani ya uwanja.
02/04/2022
Edward Mendy ni kijana Mwenye bahati sana.🇸🇳___Infact Mwanasoka Mwenye bahati sana kwa hivi karibuni...
➡️ UEFA-----super Cup
↪️Mshindi wa Uefa champions league akiwa na timu yake ya Chelsea.
↪️Golikipa bora wa Mwaka na mshindi wa Afcon.
↪️Mshindi wa kombe la dunia la klabu ya fifa Pia Anakwenda kuitumikia timu yake Kombe la dunia Mwaka huu.☣️
30/03/2022
Wayne Rooney alivyotoa lake la moyoni kuitamani timu yake ya zamani.
18/03/2022
Tatizo Mungu fundi sana.
Abduh Singano
25/02/2022
Haijalishi kitu chochote kinachotokea katika maisha yako malizana na watu vizuri.
03/02/2022
Kipindi cha Kwanza simba wameweza kumiliki mpila zaidi ya wapinzani wao