24/11/2025
Passive Income – Effortlessly | Honeygain Need some extra cash? Take full advantage of your Internet — share your Internet connection and make money effortlessly with Honeygain!
burudan na michezo
24/11/2025
Passive Income – Effortlessly | Honeygain Need some extra cash? Take full advantage of your Internet — share your Internet connection and make money effortlessly with Honeygain!
14/07/2025
Chelsea ni
1. Klabu ya Kwanza na Pekee Kushinda Mataji YOTE ya Klabu ya UEFA!
Hii ndiyo rekodi ambayo hakuna klabu nyingine duniani, ikiwemo timu zenu, iliyowahi kuifikia. Chelsea ndio klabu ya kwanza na pekee katika historia ya soka kushinda mataji yote muhimu ya klabu ya UEFA:
* UEFA Champions League (Mara 2)
* UEFA Europa League (Mara 2)
* UEFA Cup Winners' Cup (Mara 2)
* UEFA Super Cup (Mara 2)
* Na sasa, UEFA Europa Conference League (Mara 1)! Hii inatufanya kuwa klabu ya kwanza na pekee kushinda MATAJI YOTE MATANO makubwa ya UEFA!
Je, hii yote ni bahati? Hapana, hii ni ubora, uwezo, na uthabiti unaoonyesha ukubwa wa kweli wa klabu.
2. Mabingwa wa Dunia - MARA MBILI!
Tumewafunga PSG 3-0 kwenye fainali ya Kombe la Dunia la Vilabu. Kumbukeni, PSG walikuwa wameshinda Inter Milan 5-0, Bayern Munich 2-0, na Real Madrid 4-0 kabla ya kutukuta sisi. Kuwashinda kwa kishindo k**a hicho, na pia kuwa Mabingwa wa Dunia mara mbili (2021 na 2025), hakubahatishwi. Inahitaji uwezo halisi wa kuwa bora.
3. 'Timu ya Fainali' Sio Kauli tu, Ni Ukweli!
Ni kweli, wakati Chelsea inafika fainali, tunakuwa hatari kubwa. Historia yetu inaonyesha tumeshinda fainali nyingi kubwa dhidi ya wapinzani hodari. Hii si bahati, bali ni matokeo ya:
* Uzoefu: Tumekuwa huko mara nyingi.
* Nidhamu ya Kimbinu: Makocha wetu huandaa mipango imara.
* Ari ya Kupambana: Hatukati tamaa kamwe.
Kwa hivyo, wakati mwingine mashabiki wenu mtapiga kelele "bahati," sisi tunaonyesha rekodi na mataji. Chelsea si klabu kubwa kwa maneno, bali kwa vitendo na makombe.
24/06/2023
Browse Gigs | SproutGigs Browse Gigs
22/08/2022
22/08/2022
Call me 0744113950
23/07/2022
✍️“Kuna vitu havipo sawa kwenye mpira kisa Usimba na Uyanga, kuna muda tunataka kubadili nyeupe kuwa nyeusi kisa Usimba na Uyanga, this is not fair.
“Nalitazama sakata la Haji Manara na hukumu ya miaka miwili namna watu wengi wanavyopinga hukumu na kuipa presha kubwa sana TFF, hiyo haipo sawa.”
“Mlikuwa wapi wakati Mbwana Makata anapigwa miaka mitano, Lwitiko wa Mbeya anachukua miaka 10, kuna yule Kiongozi wa Biashara United kafungiwa maisha na hata Mimi nimepigwa miaka mitano.”
“Haji sio exceptional ni Mwanafamilia ya mpira k**a ilivyo kwa wengine, anapopewa hukumu kwa mujibu wa kanuni haipaswi kuonekana ameonewa, kumbuka hata Mimi nilifungiwa kisa tu MAKALA tena ya mtandaoni, why not Haji dhidi ya Rais wa TFF?”
“Tunaupa taswira gani mpira wetu? Tunamaanisha kosa likifanywa na vigogo wa Kariakoo it means linapaswa kufumbiwa macho? Jibu ni HAPANA, binafsi ni muumini wa utawala wa sheria.”
“Kila kitu kipo wazi sana, k**a Haji hajaridhishwa na hukumu anapaswa kukata rufaa, ni haki yake! Sioni mantiki ya press na kusigana bila sababu, ni kuonesha mnataka kuwa juu ya mfumo.”
“Sioni sababu ya mvutano, Haji na Yanga wana vitu viwili tu vya kufanya kwasasa, kukata rufaa k**a hawajaridhika au kukaa kimya ili Haji atumikie adhabu yake, nje na hapo ni kuunajisi mpira wa miguu na kupoteza sifa nzuri tunayoanza kuijenga.”
“Nawaelewa nyote kuwa mnaamini kwenye haki na sheria, lakini kuna utaratibu wake, napenda sana kumuona Ndugu yangu Haji kwenye mpira ila kuna utaratibu wake nae anafahamu, basi muufuate”
“Tunapocodify na kuweka mifumo ituongoze ni kwakuwa tunafahamu sie ni Binadamu na huwa tunakosea, hatuwezi kwenda bila mfumo na sio kwa ubaya, inapokuja sheria haipaswi kuwa Simba wala Yanga bali SHERIA” Ameandika Shaffih Dauda kupitia Instagram.
22/07/2022
Ni hivi, wale ambao timu zao hazijui zitaanza kambi ya pre season lini na wapi hawaruhusiwi kuhoji tumecheza na nani mechi ya kirafiki. Yaani wewe huna pa kukaa halafu unamponda anayekaa kwake kwamba hana AC? 😜😜🤪🤪. Hata kesho wakicheza na wafanyakazi wa kwenye Mapiramidi ni sawa tu. Kwani kuna mbaya gani? Mtuache kidogo. Mimi naitazama hiyo picha ya midfield yetu ikipasha. Watu wa shoka wote hao. Jumla ya mechi ngumu k**a 200 hivi hapo. Balaa.