10/05/2020
Hichi kipindi watu wanakimiss mechi za kutoka+ washikaji wakipata burudani mazoezin yaani kisa CORONA ya ALLAH wewe ndio muweza wa yote tunakuomba utusamehe makosa yetu
Kutengeneza na kukuza vipaji vya wachezaji na kuunda timu bora
10/05/2020
Hichi kipindi watu wanakimiss mechi za kutoka+ washikaji wakipata burudani mazoezin yaani kisa CORONA ya ALLAH wewe ndio muweza wa yote tunakuomba utusamehe makosa yetu
22/10/2019
Juhudi ndio zimetufikisha hapa
Wadau wa michezo kwa ujumla pamoja na wadau wa blackstars football club timu yetu inawasilisha maombi ya mchango wa kushiriki ligi ya jez na mipira inayotarajia kuanza mwez wa kumi hivyo basi tunahitaji michango kwa hali na mali ili tuweze kuzikabili changamoto za kwny ligi kiingilio kinahitajika sh 20000,tunahitaji dawa spray za kuchua2 sh24000 volini2 sh 8000,spirits na ussol pia tunahitaji mdhamin wa kutusaidia maji wakat wa mech na mchango wowote wa fedha ambazo utakuwa umejaaliwa kutusaidia .Timu yetu inàpatikana wazo A tunatumia kiwanja cha kisanga b green carpet k**a utataka kutufikia unakaribishwa uje utuangalie karibuni sana kwa watakaopenda kuwasilisha michango yao kwa njia ya tigo pesa 0673399672 Hamis Hassan Airtel money 0682254129 Samir Bashir .kwa mawasiliano zaidi piga 0718051659Hamis Hassan 0654008580 Samir Bashir Ahsant
13/09/2016
Njoo kwetu blackstars ha2bagui tuna timu ya wakubwa na wadogo hapo 2memaliza matiz asubh . Nyote mnakaribishwa k**a una swali uliza
31/01/2016
Kikosi cha jana tulishinda goli moja bila mambo mazuri zaid yanakuja mbelen timu imerud rasmi
Kesho asubh kuanzia saa 05:30 Blackstars tutakimbia road walk kutoka wazo kwa makamba mpaka beach za rungwe karibuni sana!!
22/11/2015
Kwakweli hawa ni wadogo zetu kwny timu ukiwaona wakiwa uwanjan yaan ni hatar unatamani uwaibe wakachezee timu yako
22/11/2015
Viwanja vya Mlimani chuo kikuu cha Dar es salaam
22/11/2015
Kikosi cha jana kilikuwa ni hatar maana tulichowafany hawaamini
22/11/2015
Kwakweli ukituangalia tunaonekana ni kazkaz
22/11/2015
Blackstars team management kwny ubora wao
Ile mechi tuliyocheza na alpha high school jana viwanja vya Mlimani tumeshinda 5-2 kwa upande wa blackstars magoli wameshinda Hamis Kiiza2 Micker1 john1 na moja wamejitia kamba wenyew