Mbagala Squard Sport Academy

Mbagala Squard Sport Academy

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mbagala Squard Sport Academy, Sports Team, nzasa A kwa b.nyau, Dar es Salaam.

08/07/2016

Mbagala squard sasa tumeendelea. Tuna group let la WHATSAPP tupia namba yako tukuunge kwenye group letu ili tupate mawazo na maoni ili tuweze kuendelez team yetu

Photos 29/02/2016
23/01/2016

Leo MBAGALA SQUARD SPORT ACADEMY tulikuwa na mech zidi ya TIGER BOYS ya taifa. Mpambano ulikuwa wa kukatana shoka, Ila SQUARD tumepoteza (tumefungwa)
Goal 4 kwa 1.

Photos from Mbagala Squard Sport Academy's post 16/01/2016

Hapo ndipo tulipo karibishwa kwaajili ya kubadilishia nguo

Photos 16/01/2016

Wadau leo tulikuwa na friend mach zidi ya KAZADI FC iliyo DEBRABANT mjini SAKU .kwenye mishale ya saa kumi kamili . Katika mchezo huo mbagala MBAGALA SQUARD SPORT ACADEMY ili ibuka kidedea ya magoli 4 kwa 3. Mpira ulikuw wa ushindani sana wadau wetu wa mbagala squard. Kwa picha zaidi hizo chini
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
Hapo ndip tulip wasilil DEBRABANT kuchez na KAZADI FC

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Nzasa A Kwa B.nyau
Dar Es Salaam