Sports Machine

Sports Machine

Share

This is the home of football

16/05/2022

🤔🤔🤔✅

13/07/2020

Sven.....Matola ---kiukweli mmefanya uteuzi mzuri Sana wa kikosi kila kona kumetimia tuitunze hii Team kitatusaidia kimataifa K**a ni maboresho yasizidi manne msimu ujao tutawaburuza Sana

13/07/2020

Kunamwamba mmoja wakuitwa Chama kiukweli hii ndio engine ya Simba SC Tanzania yy ndie anaeamua speed ya mechi akiwa uwanjani huyu jamaa mm huwa namuita lubricant maana anafanya mtu uone mpira wa miguu ni kazi nyepesi Sana kituambacho sio kweli mpira ni kazi ngumu sana ila kwa chama anautumikisha mpira na unamtii kiukweli chama ndie kiungo bora kwa sasa kwenye ligi kuu Tanzania bara Hakuna Becki anayetamani kumkaba huyu mwamba kiukweli chama anacheza huku akionyesha kiburi cha soka pia anaswaga ila nizile zenye faida kwa timu c k**a zile za Morison za kuonyesha dharau chama ni complete namba 10

13/07/2020

Jana Simba SC Tanzania Kila mchezaji kacheza kwa nidhamu na utimamu wa hali ya juu tactics zilikuwa sahihi much approach ilikuwa Good physical wachezaji walikuwa imara sana nidhamu ya hali ya juu everything Was fantastic kiukweli 💪💪💪walikuwa imara Sana hongera Sana kwa bench LA ufundi Sven pamoja na matola mmefanya kila kitu ktk hali ya utulivu saikolojia za wachezaji zlikuwa poa Sana THITHIS IS SIMBA THIS IS SIMBAMTHIS IS SIMBA

13/07/2020

Hongera sana mwamuzi kiukweli umefanya kazi yako ipasavyo atakae lalamika tukamfanyie vpimo vya akill well-done

13/07/2020

Louis jose mickson leo umecheza ktk kiwango cha juu sana ww ni mtu na nusu kiukweli umetukosha Sana wanasimba umefunga goli lako la Kwanza kwenye derby with fantastic performance congratulations brother we love you so much keep it up all the best now we are going International so I'm hope you will help us 100

Photos 20/02/2017

Jaman kutokana na mambo mengi ya kiuchumi aliyo ipatia club ya arsenal mzee Asern Wenger,lakin kashindwa tu kuwapatia mashabiki furaha ya ubingwa wa ligi kuu na kombe la UEFA CHAMPIONS league je Wenger sasa anapaswa kuwaachia wengine waendeleze pale alipo ishia ama bado anaweza kupambana zaidi.........?

Photos from Sports Machine's post 14/07/2016
Photos from Sports Machine's post 12/07/2016

Talent

Photos from Sports Machine's post 11/07/2016

Portugal success 2016

Photos from Sports Machine's post 11/07/2016

Portugal succeed to win the tittle 2016 in European cup of Nations

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Address


Dar Es Salaam