07/10/2018
Mwambie sina___________@
Tunafanya michezo mbalimbali k**a kukimbia jogging, football, netball na michezo mengine mingi
07/10/2018
Mwambie sina___________@
18/10/2016
Ilikuwa mkuranga hiyo na efm jogging mziki mnene tunasepa na kijiji
10/09/2016
Magharib Jogging & Sports Club tunaendelea kufanya yetu ndan ya Tabata bima
Tarehe 31/07/2016 tunaizindua rasmi Jogging uzinduzi hu utafanyika katika uwanja wa NSSF Tabata Magengeni jiranu kabisa na Kanisa Roman Katoliki" karibuni woote!
Tunamshukuru M/Mungu kwa siku ya jana klabu yetu kwa kuweza kufuturisha na Mungu akitujaalia mwaka ujao tutafanya tena tukio hili na tunawashukuru wale woote walioitikia mwaliko wetu" Tunasema shukran sana na Asanten kwa kuja