12/06/2017
Mechi ya Kirafiki jana 11.6.2017. Mtaani kwetu. Ila tumefungwa 3 - 0 ugenini. Ngoja tukajifue mechi ya marudiano lazima tulipe kisasi.
Young Stars Sports Club ni klabu inayolenga kukuza vipaji vya vijana kwa kupitia michezo. Tupo Mtaa wa Msakuzi, Kata ya Kwembe, Wilaya Mpya ya Ubungo.
12/06/2017
Mechi ya Kirafiki jana 11.6.2017. Mtaani kwetu. Ila tumefungwa 3 - 0 ugenini. Ngoja tukajifue mechi ya marudiano lazima tulipe kisasi.
27/02/2017
Mazoezi k**a kawaida... Team Coach Cassian Kuoko
06/02/2017