Mtibwa sugar sports club

Mtibwa sugar sports club

Share

WELCOME TO OFFICIAL FACEBOOK PAGE OF MTIBWA SUGAR FOOTBALL CLUB.

29/09/2017

mtibwa sugar rasmi yawasili karibuni uwanja wa uhuru kushuhudia mchezo wetu dhidi dar young africa kesho

22/09/2017

tukutane mabatini pwani

Photos from Mtibwa sugar sports club's post 08/04/2017

katikakati ya mashamba ya miwa manungu complex maandalizi ya mchezo dhidi ya mtibwa na azam j3 tarehe 10.04.2017

www.mtibwasugar.co.tz 16/02/2017

Winga mkongwe aliyeitumikia Mtibwa sugar na Taifa stars kwa mafanikio Vicent Barnabas ameamua kuingia katika ulimwengu mwingine na kuwa mkufunzi wa soka.

Vicent Barnabas ambaye amepewa baraka zote na uongozi wa timu kwa ajili ya kwenda kusomea kozi hiyo ya ukocha mjini Morogoro, mafunzo hayo ya ukocha wa awali yatamchukua winga huyo wiki mbili.

Uongozi wa klabu ya Mtibwa sugar chini ya Jamal Byser umempa baraka zote winger huyo kwenda kusomea ukocha na kitendo cha mchezaji huyo wa kutegemewa katika kikosi cha wakata miwa Mtibwa sugar kusoma kozi ya ukocha kina dumisha utamaduni wa Wana tamtam kuwapeleka wachezaji wao kusoma ukocha na baadhi ya wachezaji waliocheza Mtibwa sugar na kupata mafunzo ya ukocha ni Salum Mayanga, Zuber Katwila, Edwin Hangai, Salhina Mjengwa, Mwesa na Mecky Mexime.

Akizungumza na mtandao wa klabu www.mtibwasugar.co.tz Vicent Barnabas amesema ataendelea kuwa mchezaji wa Mtibwa sugar huku akichukua kozi za ukocha na huu ndo mwanzo wa maisha mapya.

“nimesajiliwa Mtibwa sugar na nitaendelea kuwa Mtibwa sugar nimeanza kujiandaa na career mpya katika maisha yangu ya soka na huu ni mwanzo hii ni kozi ya wali kabisa nataka kufika juu” Barnabas

Captain huyo msaidizi wa Mtibwa sugar amekuwa mtu muhimu katika kikosi cha wana tamtam msimu huu na amefanikiwa kufunga goli mbili hadi hivi sasa.

www.mtibwasugar.co.tz

16/02/2017

26/12/2016
25/12/2016

Mtibwa Sugar ya kushinda mechi ya jana katika uwanja wa Nangwanda sijaona Goli 2:0 dhindi ya Ndanda Fc mtibwaa sugar Yaanza safari ya kurejea Manungu kuikabili Majimaji ya songea katika uwanja wa manungu Mtibwa ambayo inafundishwa na kocha mzalendo salum mayanga jana imefanikiwa kupata pointi tatu muhimu kwa sasa ipo nafasi ya tano ikiwa na jumla ya alama 28

Kila la heri Mtibwa Sugar

Unite we stand

Photos from Mtibwa sugar sports club's post 18/12/2016

MTIBWA SUGAR YAFANYA TAFRIJA KUWAPONGEZA VIJANA WAO WA UNDER 20 KUSHIKA.NAFASI YA TATU

Timu ya Mtibwa sugar imefanya tafrija fupi ya kupongeza timu yao kwa kushika nafas ya tatu.Hafla hyo imefanyika katika ofisi za super doll jijin dar es salam

akizungumza na vijana hao Mkurugenzi wa mtibwa sugal Jamal bayser amesema wao k**a mtibwa wanajivunia kuona wanakuwa mfano kwa timu nyingine hapa tanzania

Aidha amesema pamoja na ligi hiyo kumalizika.wachezaji hao wataendea kuwatumia.katika.michezo mbalimbali. na pia wao k**a uongozi wataendelea.kuwapandisha wachezaji kuchezea timu kubwa

mtibwa.sugar iliokuwa ikifundishwa na wachezaji.wa zamani salhina mjengwa na koba karumbeta wamefanikuwa kushika nafasi ya tau.baada ya kumfunga stand united goli 3:0

magoli yaliofungwa na.mchezaj anaejulikana.kwa jina.la.chomeka alieifungia mtibwa magoli 2 na goli la lala salama lilifungwa na nassor bakar maarufu k**a chollo kijana anaetokea Mkoani morogoro wilaya ya mvomero kitongoji cha lusanga

kila.la heri mtibwa
unite we.stand

29/10/2016

wachezaji wa mtibwa wakifanya mazoez katika uwanja wa manungu

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address

Kivukoni Road
Dar Es Salaam
9574