AfyaInspire

AfyaInspire

Share

Karibu AfyaInspire kwa huduma ya semina,chunguzi na ushauri wa kibingwa kuhusu Kisukari,Saratani, n.k

MAKUNDI MATANO (5) YA WATU WANATAKIWA KUFANYIWA UCHUNGUZI WA UGONJWA WA KISUKARI 28/01/2024

JITAHIDI UFANYE UCHUNGUZI WA UGONJWA WA KISUKARI ENDAPO UPO KATIKA MOJA YA MAKUNDI YAFUATAYO, SOMA ZAIDI πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡


MAKUNDI MATANO (5) YA WATU WANATAKIWA KUFANYIWA UCHUNGUZI WA UGONJWA WA KISUKARI Ugonjwa wa kisukari unatarajia kuathiri takribani ya watu milioni 33 kwa mwaka 2030 na watu milioni 55 kwa mwaka 2045. Na takribani asilimia 90 (90%) ya watu ambao hawajijua kuwa na shida ya kisukari wanaishi katika nchi ya uchumi ya chini na kati ikiwemo Tanzania. Tanzania ina wagonjwa wa kisuka

MAMBO KUMI NA MOJA (11) MUHIMU YA KUZINGATIA ILI KUPUNGUZA UWEZEKANO WA KUPATWA NA UGONJWA WA KIHARUSI 24/01/2024

https://afyainspire.co.tz/mambo-kumi-na-moja-11-muhimu-ya-kuzingatia-ili-kupunguza-uwezekano-wa-kupatwa-na-ugonjwa-wa-kiharusi/

MAMBO KUMI NA MOJA (11) MUHIMU YA KUZINGATIA ILI KUPUNGUZA UWEZEKANO WA KUPATWA NA UGONJWA WA KIHARUSI Kiharusi ni moja ya tatizo kubwa ambalo huathiri watu wengi kwa kusababisha ulemavu na hata vifo duniani kote. Kutokana na ukubwa wa tatizo hili ni vyema kupata ufahamu wa njia mbalimbali za kupunguza nafasi ya kushambuliwa na ugonjwa huu wa kiharusi kwani masuala mengi yako ndani ya uwezo wa mtu n

DHANA SABA (7) POTOFU KATIKA JAMII KUHUSU UGONJWA WA SIKO SELI 22/01/2024

UGONJWA WA SIKOSELI NI K**A MAGONJWA MENGINE, TUEPUKE DHANA HIZI πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ POTOFU KATIKA JAMII


DHANA SABA (7) POTOFU KATIKA JAMII KUHUSU UGONJWA WA SIKO SELI Mbali na kuimarika kwa huduma za afya kiasi cha kupelekea watu wengi wenye ugonjwa wa siko seli kugundulika na kupata tiba sahihi bado watu mbalimbali wamekuwa na mitazamo ambayo si sahihi kuhusu ugonjwa huu. Hali hii imechangikwa na watu wengi kutokuwa na ufahamu pamoja na maarifa kuhusu ugonjwa hu

ZINGATI KUFANYA AINA HIZI NNE (4) ZA MAZOEZI KATIKA RATIBA YAKO KUPATA MATOKEO BORA ZAIDI 19/01/2024

#

MAZOEZI NI KINGA NA DAWA YA MAGONJWA MENGI YASIYOAMBUKIZA

ZINGATIA HAYA MAZOEZI πŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎ

ZINGATI KUFANYA AINA HIZI NNE (4) ZA MAZOEZI KATIKA RATIBA YAKO KUPATA MATOKEO BORA ZAIDI Watu wengi wamejikuta wakibobea zaidi upande mmoja wa aina ya mazoezi aidha kutokana na kutokujua aina zingine za mazoezi ambazo ni muhimu au kushindwa namna ya kufanya aina hizo za mazoezi. Ni vyema kufanya aina zote za mazoezi ili kuupatia mwili matokeo mazuri (kujiweka fiti zaidi) huku ukizingat

UNENE AU UZITO ULIPITILIZA HUCHANGIA KWA MADHARA HAYA ISHIRINI NA MOJA (21) YA KIAFYA 17/01/2024

UNENE AU UZITO ULIOPITILIZA NI TATIZO KUBWA LA KIAFYA KIPINDI HIKI, SOMA ZAIDIπŸ‘‡πŸΎ

UNENE AU UZITO ULIPITILIZA HUCHANGIA KWA MADHARA HAYA ISHIRINI NA MOJA (21) YA KIAFYA Unene ni tatizo sugu hivi karibuni ambalo linaongezeka kwa kasi sana miongoni mwa watu. Limekuwa tatizo kutokana na athari katika afya kwa watu mwengi, likiathiri wakubwa kwa wadogo. Tatizo hili limetokana na kukosekana kwa uwiano wa nguvu ya chakula inayoingia ndani (kwa kula vyakula mbalimbali

JE KUNA KIWANGO SALAMA CHA UNYWAJI WA POMBE ? 12/01/2024


πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ USIACHE KUSOMA HII K**A UNATUMIA BIA, MVINYO AU POMBE KALI

JE KUNA KIWANGO SALAMA CHA UNYWAJI WA POMBE ? Unywaji wa pombe umekuwa ukiongezeka katika miaka ya hivi karibuni huku takwimu zikionesha kati ya watu wa tatu (3) kuna mtu mmoja (1) anatumia pombe na zaidi ya watu milioni 3 hufa kwa kila mwaka dunia kutokana na unywaji wa pombe. Kutokana na madhara makubwa yanayotokana na unywaji wa pombe ikiwem

UGONJWA WA SONONA (DEPRESSION) UNAUA ZIJUE SABABU ZINAZOPELEKEA UGONJWA HUU. 08/01/2024

AFYA YAKO YA AKILI NI MUHIMU,
SOMA MAKALA HII UELEWE SHIDA YA SONONA (DEPRESSION) INAANZIA WAPI

https://afyainspire.co.tz/index.php/2024/01/06/1591/?fbclid=IwAR3QAJW70yvHHk8Nb4QIpt1jk9V5r2TuMcyECtBe8QwYDiro0E-NvxyNaWQ

UGONJWA WA SONONA (DEPRESSION) UNAUA ZIJUE SABABU ZINAZOPELEKEA UGONJWA HUU. Sonona ni ugonjwa wa akili ambao hujidhihirisha kwa dalili mbalimbali hasa ikiwemo ya kupatwa na hali ya huzuni iliyopitiliza au kukosa hamu/shauku kwenye vitu au mambo ambayo ulikuwa unayafurahia au kupenda kuyafanya kipindi cha nyuma. Dalili hizi huwepo muda mwingi katika siku kwa angalau wiki mb

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Address


P. O Box 105809
Dar Es Salaam