Simba chama la wana
Ushabiki wa michezo
Kuu ya VPL wikiendi hii
Leo Saa 10:00 Jioni, Simba SC kuwakaribisha Mwadui FC, ambao katika mchezo wa mzunguko wa kwanza mnyama alichezea kichapo kutoka kwa Mwadui FC. Je mnyama atalipa kisasi ama Mwadui kumvimbia tena mnyama? shughuli nzima kuwa Live
KinoBoys kuumana na Ruvu Shooting, Je nani kuondoka na pointi 3? patashika hii leo #
11/03/2020
Unaiona Je mechi ya Leo mwana Simba chama la wana
Sheria Namba 11 ya Mpira Wa Miguu Duniani,
11. KUOTEA
Ni kitendo cha mchezaji kuzidi au kupokea mpira akiwa mbele ya wachezaji wote Wa timu pinzani na akiwa ndani ya Eneo la timu pinzani .
– Mchezaji anaweza akawa katika nafasi ya kuotea lakini asitafsiriwe k**a ameotea k**a Hajajishughulisha kabisa na mpira .
– Dhana ya kuotea hutegemea mambo matatu muhimu ambayo ni Nafasi , kucheza na Kutoa .
– Pia mchezaji hatakuwa ameotea ikiwa walinzi Wa timu pinzani Watamkimbia au kutojishughulisha kabisa pale mchezaji Wa timu pinzani atakapo pokea mpira na kufunga goli .
– Mchezaji Hatatafsiriwa k**a ameotea akiwa amepasiwa na mchezaji wa timu pinzani kwa Kujua au Kutojua .
– pia , Ikiwa mchezaji yuko katika nafasi ya kuotea na mwenzake mwenye mpira akapiga mpira golini moja kwa moja bila kumpasia mpira huyo aliyeko katika nafasi ya kuotoa na kufunga goli , hapo mwamuzi attaruhusu goli bila kutafsiri Kuotea .
– Mchezaji atakuwa ameotea Iwapo mpira Utapigwa golini Ukagonga mlingoti mojawapo Wa goli au mlinda mlango na kurudi ndani ya Uwanja na kuguswa na mchezaji aliyekuwa katika nafasi ya Kuotea .
– Aidha , Hakutakuwa na dhana ya kuotea pale mchezaji atakapokutana na mpira Uliochezwa na mlinda mlango .
– Mpira Wa kurushwa Hauna kuotea , Pia mchezaji hatakuwa ameotea endapo atapokea mpira katika eneo lake kabla hajavuka Mstari Wa katikati ya Uwanja
TOFAUTI ya "SIMBA" na "YANGA" pamoja na MASHABIKI wao:-
ikifungwa Mashabiki wanaona ni sehemu ya MCHEZO na kujipa moyo kuwa Mechi ijayo watafanya Vizuri
ikifungwa Mashabiki wao wanaanza kuijia juu TFF kuwa inawahujumu wala hawana muda wa kuwapa moyo wachezaji wao.
ikifungwa KOCHA anatoa sababu za Kiufundi kwanini wamepoteza mechi na kuhaidi watafanyia kazi Makosa.
wakifungwa kocha wao ZAHERA anaanza kuijia juu TFF, SIMBA na waamuzi Kuwa wanamuhujumu Asiwe bingwa wala Hana muda wa kueleza matatizo ya timu yake
Hata ifungwe mashabiki wataenda tu Uwanjani kuipa support timu yao maana wanajua SOKA linataka nini na wanaujua mpira pia.
wakifungwa hawaendi mpirani wanajazana kwenye vijiwe vya KAHAWA kujipa moyo kuwa TFF ni SIMBA Wale na kudanganyana kila siku.
ikifungwa kwao ni moja ya matokeo wanayakubali wanasonga mbele na mapambano
wakiona SIMBA ameshinda wanasema kahonga marefa Mara timu ya TFF Mara magoli ya PENATI ila SIMBA akifungwa utasikia pumzi imekata Mara Simba mbovu hao ndio Aina ya MASHABIKI wa YANGA na Tabia zao wakishinda wanafurahi hao hatarii ngoja wafungwe sasa Chamoto wanakipata TFF, SIMBA, na WAAMUZI.
wengi wa YANGA hawana uelewa Wa maswala ya MPIRA ni vile wapo tu nao waonekane.
Simba oyeeee
*Break News*
Timu ya soka ya simba imepewa mwaliko wa kucheza mechi moja na timu ya Psg ya ufaransa tarehe 21/7/2019. Hili limetokea siku moja tu baada ya mabingwa hao wa Tanzania kucheza mechi yao dhidi ya sevilla na kuonyesha soka la kiushindani huku mechi hiyo iKionyeshwa na vituo mbalimbali duniani ambapo inakadiriwa zaidi ya watu million 11 waliishudia mechi hiyo. Mwaliko huo umetumwa na club hiyo ya jiji la Paris ikiwa ni maandalizi ya wachezaji wao wapya watakaosajiliwa kwa ajili ya msimu ujao.
Tembelea:http//www.worldsoccer.net
*Mwalimu kauliza swali darasani wanafunzi wataje kazi za wazazi wao:*
*Tina: Mimi baba yangu mfanyabiashara mama yangu Mwalimu*
*Mwalimu: Safi, haya Juma*
*Juma: Baba yangu dereva mama yangu hafanyi kazi*
*Mwalimu: Vizuri, haya Zogo*
*Zogo: Mimi mama yangu malaya anajiuza baba simjui*
*Mwalimu: Pumbavu wewe, nenda ofisini kwa mwalimu mkuu ukamueleze upuuzi wote uliosema hapa*
*Zogo... anaenda ofisini anarudi huku anatabasamu na anakula biskuti.*
*Mwalimu :* *Mwalimu mkuu kakupa adhabu gani?*
*Zogo: Kaniambia nimpe namba ya mama…*
🤣🤣🤣🤣🤣😁*
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Website
Address
Dar Es Salaam