Kocha Mkuu wa Simba Sven Vandenbroeck, azungumzia mechi ya watani ambayo kupigwa Januari 04, 2020, Live kupitia Azam Sports 2
Fanuel Gendo Sagwa
Sports
Mzee Meshuku Mapi Mukari almaarufu mzee Laibon, kutoka jamii ya kifugaji, mwenye umri wa miaka 102 na wake wapatao nane, watoto zaidi ya 60 na wajukuu zaidi 70, amesema kuwa licha ya kuwa na idadi kubwa ya watu nyumbani kwake, lakini wameweza kuishi kwa amani bila migongano yoyote.
Mzee Laibon, Mfugaji mwenye umri wa miaka 102, watoto zaidi ya 60 na wajukuu zaidi ya 70
Mzee Laibon ni Mkazi wa Kijiji cha Esilalei, wilayani Monduli, mkoani Arusha, anasema kuwa amelazimika kufungua Shule ambayo itaweza kuwa mkombozi kwa wajukuu zake na wale watoto wanaoishi jirani na eneo hilo, ambayo imechagiza hamasa ya elimu katika jamii hiyo ya kifugaji, ambayo kwa muda mrefu imekuwa nyuma katika masuala ya elimu.
Akizungumza Mwalimu Abel Langa, ambaye ni mmoja ya walimu katika Shule iliyoanzishwa na Mzee Laibon, amesema muitikio wa elimu katika jamii hiyo, umeendelea kuwa mkubwa na hii imetoa hamasa kubwa ya elimu kwa jamii hiyo.
Aidha katika hatua nyingine, familia ya Mzee Laibon, imeanza kufuata na kuabudu imani ya Kikristo na kuachana na baadhi ya mila potofu k**a vile ukeketaji na unyanyasaji wa kijinsia.
Chanzo Eatv.tv. WRITTEN AND EDITED BY
✊
Kocha wa Yanga akielezea juu ya mchezo wa leo
.
✊
“BUNJU KUMEDAMSHI”: Tazama maandalizi ya viwanja viwili vya Simba SC yanavyoendelea katika eneo la Bunju, jijini Dar es Salaam ikiwa ni siku chache kabla ya uzinduzi rasmi.
✊
01/12/2019
Kwa habari za michezo kitaifa na kimataifa follow na kwa habari zingine .radio turn on notification kwa updates mbali mbali ndani na nje ya nchi.
... ✊
01/12/2019
Moja ya Tweet ya mchezaji wa simba
✊
Like Boresha Radio www.boresha.online
Boresha Radio Online Platform for Non Mainstream Art and Educational Programs • • Gusa Website boresha.live Sikiliza Boresha Radio
29/11/2019
KWA MZIKII BOMBA SIKILIZA BORESHA RADIO KUPITIA WWW.BORESHA.ONLINE USISAHAU KU LIKE PAGE
Boresha Radio Online Platform for Non Mainstream Art and Educational Programs • • Gusa Website boresha.live Sikiliza Boresha Radio
26/10/2019
Tuna msifu Mungu Tunapiga kelele.
Usikose kutusikiliza Jumapili hii saa10:00 jioni - 12:00 jioni kwa kupitia www.boresha.online
24/10/2019
Have you ever wondered how you look at failure?
Do you view failure as something that takes you 1 step further away from success or you look at failure as something that has taken you one step closer to success?
The reason why I say this is because most people look at failure like what the word suggests, a failure, but to fail and to be a failure are two completely different things. One shift that can make a world of difference is really how you look at failure.
To me, I take failure as 1 step closer, as a vitamin to success because I manage to find one way that did not work. It is only a failure if you quit.
You are only a failure if you told yourself that I give up. At the end of the day if you’re able to look at failure as one step closer to success, as a mistake that you will never repeat again, then everything changes. So look at failure very differently.
At the end of the day, it is your choice whether to fail or to be a failure. What is your choice? Share your thoughts with me in the comment box below.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Website
Address
Dar Es Salaam