Habari za michezo

Habari za michezo

Share

kutoa habari za michezo hususani soka kutoka pande zote za ulimwengu
kama vile ratiba za ligi mbalimbali,matokeo ya mechi,usajili na habari nyingine nyingi.

15/03/2026

Refa kawekwa kati bila kujitambua

15/03/2026

FT | Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League)
πŸ‡²πŸ‡¦ RS Berkane 1-1 Al Hilal πŸ‡ΈπŸ‡©
⚽ Roof (dakika ya 12’)
⚽ Chouiar (90+8’)
Mchezo ulikuwa na msisimko mkubwa mwishoni, ambapo RS Berkane walipata bao la kusawazisha dakika za mwisho kabisa za muda wa nyongeza.
Sasa matokeo ni sare 1-1, na timu zote zinaelekea kwenye mchezo wa marudiano utakaochezwa Kigali. πŸ”₯⚽

14/03/2026

K**a uvyoonekana msimamo wa EPL tembo bado yupo juu hataki kushuka

14/03/2026

πŸŽ™οΈ Pep Guardiola kuhusu mbio za ubingwa wa Premier League:
β€œBado tuna mchezo mmoja mkononi, na pia tuna mchezo wa nyumbani dhidi ya Arsenal F.C., kwa hiyo lazima tujaribu kupambana hadi MWISHO.” πŸ’™
β€œK**a haitowezekana, tutawapongeza mabingwa, lakini lazima tujaribu kupambana...” πŸ† Arsenal kazi kwenu

14/03/2026

🚨 Taarifa Mpya: Arsenal F.C. sasa wana pointi 9 zaidi ya Manchester City F.C. kwenye msimamo wa Premier League! πŸ˜²πŸ“ˆ

14/03/2026

⏰️19' Anthony Gordon

🧿 Chelsea 0-1 Newcastle United β–ͺ️

14/03/2026

Napoli anaweka mzani sawa
Dakika 50
Napoli 1 : Lecce 1

14/03/2026

🚨 π‡π€ππ€π‘πˆ πŒππ˜π€: Kylian MbappΓ© amerudi kufanya mazoezi na mpira leo. πŸ”™βš½
Inaashiria kuwa nyota huyo wa Real Madrid anaendelea vizuri katika kupona na huenda akarudi uwanjani hivi karibuni.

14/03/2026

🚨 Ujumbe wa Álvaro Arbeloa kwa wachezaji kocha wa Real Madrid
β€œKatika klabu hii, tunasherehekea MAKOMBE, si ushindi wa mechi tu. Hakuna kitu kilichokamilika ” πŸ’ͺπŸ»πŸ†

14/03/2026

Kikosi cha Arsenal dhidi ya Everton

23/01/2022

Burkina Faso wale watinga robo fainali baada ya kuwafunga Gabon kwenye mikwaju ya penati

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Dar Es Salaam