10/06/2026
Ondoa hofu ya kukosa usafiri msimu huu! Otapp inakuhakikishia unapata tiketi yako ya basi bila usumbufu wowote.
Kata tiketi yako sasa:
Tovuti: www.otapp.co.tz au pakua app: link.otapp.live
UKURASA WA WAPENZI WA MABASI YOU ARE ALL WELCOME. BAD LANGUAGE AND ABUSIVE WORDS ARE NOT TOLERATED IN THE GROUP.
HII KURASA NI HUSUSANI KWA WATU WOTE WANAOPENDA KUSAFIRI KWA MABASI NDANI YA TANZANIA.UNAWEZA KUWEKA PICHA,UKATOA MAONI KUHUSU USAFIRI WA TANZANIA,KERO AU MATATIZO ULIYOYAPATA UKIWA SAFARINI.KARIBUNI SANA. THIS PAGE IS ESPECIALLY FOR ALL PEOPLE WHO LOVE TO TRAVEL BY BUS IN AND AROUND TANZANIA, YOU CAN POST PICTURES AND COMMENTS ABOUT THE TANZANIA TRANSPORTATION. MABASI YA TANZANIA/LIST OF BUSES:
10/06/2026
Ondoa hofu ya kukosa usafiri msimu huu! Otapp inakuhakikishia unapata tiketi yako ya basi bila usumbufu wowote.
Kata tiketi yako sasa:
Tovuti: www.otapp.co.tz au pakua app: link.otapp.live
06/06/2026
Habari njema kwa wasafiri wa Kanda ya Ziwa! Kuanzia tarehe 08.06.2026, Ally’s Star imeboresha ratiba zake ili kukupa muda unaokufaa zaidi iwe ni kusafiri mchana, jioni au usiku.
Pakua Otapp App sasa na ukate tiketi yako kwa urahisi popote ulipo kupitia link.otapp.live.
Website: www.otapp.co.tz
02/06/2026
Hakuna ulazima wa kwenda stendi ama kupiga simu ofisini Kwa ajili ya tiketi. Kata tiketi za mabasi kwenye Otapp app Jukwaa pekee Tanzania linaloongoza Kwa tiketi za mabasi.
Pakua Otapp sasa kupitia link.otapp.live
Website 👉 www.otapp.co.tz
02/06/2026
WANNE WAPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI YA BASI MKOANI MBEYA.
Watu wanne wamepoteza maisha baada ya basi la kampuni ya Mwasote lililokuwa likisafiri kutoka Mbeya kwenda Chunya kupata ajali katika eneo la Maji Mazuri mkoani Mbeya.
Ajali hiyo iliyotokea Mei 31, 2026 saa 9:10 alasiri ilisababisha pia watu 29 kujeruhiwa na kukimbizwa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya kwa matibabu.
Kwa mujibu wa taarifa ya polisi, basi hilo lenye namba T134DFB aina ya Mitsubishi lilipinduka baada ya dereva kushindwa kulimudu katika kona kali na kuacha njia.
Miongoni mwa waliofariki wametajwa kuwa ni Hamza mwenye miaka 30 pamoja na Matrida Mwabanganya. Dereva wa basi hilo anaendelea kupatiwa matibabu chini ya ulinzi huku uchunguzi zaidi ukiendelea.
25/05/2026
Louis Line
Dar_Ifakara
25/05/2026
Louis Line
PLUS
25/05/2026
SAMA LUXURY COACH
Dar_Mwanza
Nauli semi luxury _Tzsh 88,000/=
Vip ni Tzsh 10,0000/=
Songea_Dar
Nauli ni 70,000/=
Dar_Mbinga
Nauli ni 80,000/=
kwa mahitaji ya tiketi piga,sms,whatsap
0759399805
21/05/2026
Muda kwetu ni muhimu linapokuja suala la usafirishaji wa mizigo. Ndiyo maana Otapp Cargo imejizatiti kuhakikisha mizigo yako inafikishwa salama na kwa wakati kote Tanzania.
Book huduma yako ya cargo sasa kupitia Otapp. Pakua Otapp sasa kupitia link.otapp.live
Kata Tiketi za mabasi sasa kupitia Otapp jukwaa namba moja la tiketi za mabasi.
Pakua Otapp sasa kwenye google playstore na appstore kupitia link ya https://link.otapp.live/
Kwa msaada zaidi piga simu kwenye namba 0748 771 160.
Powered by
18/05/2026
Falcon Coach
Dar_Tarime

Morgan Luxury
Dar_Bukoba