Wamachinga Sports Club Tanzania - WASPOC

Wamachinga Sports Club Tanzania - WASPOC

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Wamachinga Sports Club Tanzania - WASPOC, Professional Sports Team, Kariakoo, Narung'ombe na Nyamwezi, Dar es Salaam.

Photos from Wamachinga Sports Club Tanzania - WASPOC's post 08/04/2022

Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbas (Katikati) akiwa na Rais wa TFFA Chief Morison (Kushoto) na Makamu wa Rais wa TFFA Pascal Chang’a (Kulia), mara baada ya kumaliza mazungumzo yao kuhusu Maendeleo ya Michezo ya TFFA (Freestyle Football, Neymar Jr’s Five, Teqball, Panna na Chinloe) na Chama kwa ujumla kwenye ukumbi wa Uwanja wa Benjamini W. Mkapa Dar es Salaam leo tarehe 08 Aprili, 2022.
Misimu mi4 ya Mabingwa wa kiume wa kombe la Dunia tangu lilipoanzishwa 2016 hadi 2019.
________________________________________________
Utafutaji umefunguliwa!!!.

Je, unacho kile kinachohitajika ili ( ).

Unaweza kuwa sehemu ya timu nzuri zaidi ya duniani kote katika hatua Mbili rahisi!

Hatua ya 1
Rekodi na upakie video yako ya sekunde 60 kwenye Instagram inayoonyesha ujuzi wako na halafu ukiwa unakunywa Redbull.

Hatua ya 2
Tag na na vilevile ukitumia hashtag na ili kupata nafasi ya kushinda na kucheza na Neymar Jr.

Bahati njema!🍀.
________________________________________________
Jiandae kwa Semina na Shindano la Red Bull Neymar Jr’s Five, ukutane na ucheze na Balozi wetu na mabalozi wenzie Sita kutoka Timu ya Taifa ya Mabalozi ~ -ME.

Aidha, jiandae kwenda kukutana na kucheza na timu ya Mchezaji Mkubwa Duniani nchini Qatar.


.tanzania

Photos from Wamachinga Sports Club Tanzania - WASPOC's post 30/03/2022

WAMACHINGA SC YAHUDHURIA KONGAMANO LA MICHEZO TANZANIA

Mwenyekiti wa klabu ya michezo ya Wamachinga (Wamachinga Sports Club - WASPOC) Chf. Morison Mosses Jumanne Jana Jumanne ya tarehe 29 Machi 2022 amehudhuria kongamano la Michezo Tanzania kuwakilisha klabu ya Wamachinga ya michezo lilofanyika katika Uwanja wa Benjamini W. Mkapa (Uwanja wa Taifa) katika ukumbi wa mikutano VVIP.
Kongamano hilo lenye lengo la kuadhimisha Mwaka Mmoja wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika kipindi cha uongozi wake ameupiga mwingi liliandaliwa na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kupitia Baraza la Michezo la Taifa.

Mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo MB Mhe. Mohamed Omari Mchengerwa aliongea masuala mbalimbali katika hotuba yake ya mafanikio yote na changamoto zote zilizotokea ndani ya Mwaka Mmoja wa Rais Samia. Aidha, Waziri Mchengerwa alifanya uteuzi wa viongozi mbalimbali wajumbe wa Bodi ya Baraza la Michezo la Taifa - BMT na Baraza la Kiswahili la Taifa - BAKITA na Msajili wa vyama na vilabu nchini.

.tanzania

16/03/2022

Utafutaji umefunguliwa!

Je! unacho kile kinachohitajika ili ( ).

Unaweza kuwa sehemu ya timu nzuri zaidi ya duniani kote katika hatua Mbili rahisi!

Hatua ya 1
Rekodi na upakie video yako ya sekunde 60 kwenye Instagram inayoonyesha ujuzi wako na halafu unakunywa Redbull.

Hatua ya 2
Tag na na vilevile ukitumia hashtag na ili kupata nafasi ya kushinda na kucheza na Neymar Jr.

Bahati njema!🍀
___________________________________
Jiandae kwa Semina na Shindano la Red Bull Neymar Jr’s Five, ukutane na ucheze na Balozi wetu na mabalozi wenzie Sita kutoka Timu ya Taifa ya Mabalozi ~ -ME.

Aidha, jiandae kwenda kukutana na kucheza na timu ya Mchezaji Mkubwa Duniani nchini Qatar.


06/12/2021

CHIEF MORISON AMTEMBELEA NAIBU KATIBU MKUU WASPOC MOI - MUHIMBILI | KWA SASA ANAONGEA, ANAKAA

Na Afisa Habari Daraja la I, WASPOC.

Mwenyekiti wa Klabu ya Michezo ya Wamachinga (Wamachinga Sports Club - WASPOC) Chief Morison Mosses Jumanne leo tarehe 06 Disemba 2021 Jumatatu amemtembelea hospitalini Naibu Katibu Mkuu wa Klabu WASPOC Ndg. Elieza Wilson Letipi na ambaye pia ni mjumbe wa Zoni Mtaa wa Aggrey KAWASSO ambaye yupo Moi Muhimbili ghorofa ya Tatu A1 kwa ajili ya matibabu kutokana na kuvunjika mkono wa kulia mara Mbili na mguu wa kulia mara Mbili, ameekewa Antena kwa jina maarufu.

Ndg. Letipi alipata ajali ya kugongwa na gari aina ya Coaster Daladala tarehe 02 Disemba 2021 Alhamisi majira ya usiku wa saa 4 akiwa katika pikipiki yeye na mwenzie ambaye ni mtumishi katika ofisi ya Wamachinga Kariakoo (KAWASSO) aitwaye Bw. Anani John maarufu kwa jina la Soro ambapo dereva wa pikipiki alipoteza uhai papo hapo, Apumzike kwa Amani Marehemu.

Aidha, Mwenyekiti wa Klabu WASPOC Chief Morison ametoa pole kwa niaba ya klabu na Uongozi wa Wamachinga wa Mkoa wa Dar es Salaam kwa nafasi yake ya UKatibu wa Wamachinga wa Mkoa wa Dar es Salaam kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki na kwa watu wanaowahudumia Ndg. Letipi na Anani (Soro) pamoja na kuwahimiza kujitoa kwa pamoja katika kufanikisha Afya zao zinaimarika na kurudi katika majukumu yao k**a kawaida.

Hali ya kiafya ya Ndg. Letipi imeanza kutengemaa ambapo awali alikuwa haongei wala kukaa lakini kwa sasa anaongea vizuri na anakaa. Vilevile, kwa upande wa Bw. Anani (Soro) ambaye alikuwa hospitali ya Amana na kwa sasa yupo nyumbani bado anaongea kwa shida sana.

Inaendelea .....

17/08/2020
Photos 10/02/2018

*Gazeti La Wamachinga*
*HABARI ZA WASPOC*

*NYAMWEZI CHINI YAJIPIGIA TENA, YAJIHAKIKISHIA KUFUZU NUSU FAINALI*

*MATOKEO YA MCHEZO NA. 5 WA LEO*
NYAMWEZI JUU 0⃣ - 1⃣ NYAMWEZI CHINI
Ally Rashid Semfuko 79'

Shukrani: *Ofisi Ya Mkuu wa Wilaya ya Ilala (DC & DAS), MBUNGE WA ILALA, NMB CONGO - MENEJA, KAWASSO - M/KITI, CHIEF MORISON*

```IJAYO```
Mechi: *AGREY 🆚 SIMA*
Shindano: *KOMBE LA WAMACHINGA LA MPIRA WA MIGUU*
Mchezo Na. : *6*
Siku: *JUMAPILI*
Tarehe: *FEBRUARI 11, 2018*
Muda: *SAA 10:00 JIONI*
Uwanja: *BENJAMIN W. MKAPA*
Hakuna: *KIINGILIO*
Mgeni Rasmi: *HAJAJULIKANA*
Wageni waalikwa: *VIONGOZI MBALIMBALI*

* *

Photos 10/02/2018

*Gazeti La Wamachinga*
*HABARI ZA WASPOC*

*EL NYAMWEZI CLASSÍCO KUCHEZWA KESHO*

*MATOKEO YA MCHEZO NA. 4 WA JANA*
MUHONDA 1⃣ - 1⃣ AGREY

Shukrani: *Ofisi Ya Mkuu wa Wilaya ya Ilala (DC & DAS), MBUNGE WA ILALA, NMB CONGO - MENEJA, KAWASSO - M/KITI, CHIEF MORISON*

```IJAYO```
Mechi: *NYAMWEZI JUU 🆚 NYAMWEZI CHINI*
Shindano: *KOMBE LA WAMACHINGA LA MPIRA WA MIGUU*
Mchezo Na. : *5*
Siku: *JUMAMOSI*
Tarehe: *FEBRUARI 10, 2018*
Muda: *SAA 10:00 JIONI*
Uwanja: *BENJAMIN W. MKAPA*
Hakuna: *KIINGILIO*
Mgeni Rasmi: *HAJAJULIKANA*
Wageni waalikwa: *VIONGOZI MBALIMBALI*

* *

Photos 04/02/2018

Mwanahabari mahiri wa akiwa ametupia Jezi yenye uhalisia wa rangi za bendera ya klabu ya

Photos 04/02/2018
Photos 04/02/2018

Photos 21/01/2018

.1 Timu yetu inazidi kujipigia tu.

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Address


Kariakoo, Narung'ombe Na Nyamwezi
Dar Es Salaam
11000