Urafiki Boxing academy

Urafiki Boxing academy

Share

Kadiri unavyofanya mazoezi katika kituo chetu itakusaidia kuboresha kipaji chako na utimamu wa mwili zaidi na kupata matokeo makubwa kiafya na kipaji chako

Hii ni sehemu ambayo watoto,vijana ,na wazee jinsia zote wanapata kujifunza mchezo wa ngumi kwa utaalamu wa juu ,ni klabu pekee inayojivunia kutoa mabingwa wa mchezo huu . Vilevile ni sehemu ambayo ukapata mazoezi ya aerobics na anaerobics kwa michezo ya mtu mmoja mmoja . Karibuni wote.

13/04/2026

Big shout out to my newest top fans! Allan Ruta, Juma H Amani, Josco Sana, Ashraph Tz

Photos from Urafiki Boxing academy's post 13/04/2026

Usiku wa mabingwa

Photos from Urafiki Boxing academy's post 29/03/2026

Timu Urafiki imepata medali 2
Dhahabu na fedha

Photos from Urafiki Boxing academy's post 23/03/2026
22/03/2026

Bado siku 1

18/03/2026

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Yassin Kheri, Juma Said, Mudy Shenko Shenko, Rashidy Chingy, Ashraph Tz, Abdoulraheem Og, Abduly Shasha, Wakusebenza TZ, Ojuku Malunga, Chilonga Ba Rakhiyan

Photos from Urafiki Boxing academy's post 18/03/2026

Timu Urafiki ....

14/03/2026

Kuanzia tarehe 4 mwezi 4 2026 kutakuwa na programs za watoto na vijana .
Kuanzia saa 2 hadi 4 asubuhi

11/03/2026

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Abuu Lailatih, Hans Isack, Nyenje Moto

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Address


Urafiki
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
18:00 - 19:00
Tuesday 09:00 - 17:00
18:00 - 19:00
Wednesday 09:00 - 17:00
18:00 - 19:00
Thursday 09:00 - 17:00
18:00 - 19:00
Friday 09:00 - 17:00
18:00 - 19:00