Tyger Trainer

Tyger Trainer

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tyger Trainer, Gym/Physical Fitness Center, TABATA, Dar es Salaam.

05/01/2024

HABARI WATU WANGU WA NGUVU WA FACEBOOK 💪🏿 ,SAFARI HII NMEKUJA NA UJIO MPYA KWA AJILI YENU WAPENDA MAZOEZI NA WANAOTAKA TAKA KUJIUNGA NA MAZOEZI KWA MARA YA KWANZA.NAPENDA KUITAMBULISHA LOGO YANGU MPYA ITAKAYOKUWA INATUMIKA KATIKA PROGRAMU ZANG ZA MAZOEZI ,NA PIA NMEWAANDALIA NGUO ZA MAZOEZI ZITAKAZOKUA NA LOGO AMBAZO KWA ATAKAE HiTAJI ATANICHEKI KWA NAMBA YA SIMU IPO CHINI HAPA👇👇

USISITE KUNICHEK KWA PROGRAMU MBALI MBALI ZA MAZOEZI HASA KWA WANAOTAKA KUPUNGUZA MWILI NA KWA USIMAMIZI MZURI KABISA.

📞 0686704593 TYGER TRAINER 📞 0686704593 TYGER TRAINER

01/01/2024

Ndugu zanguni hayo ni mazoezi mazuri sana yenye faida sana kwa haraka Mwilini na utendaji wake mzuri kwanza yatakusaidia kukujengea pumzi kwa haraka iwapo utayafanya mazoez ayo mara kwa mara, pia itakutengenezea wepesi na kuwa mwepesi mwili mzima, itakusaidia pia kushusha weight k**a unachangamoto ya uzito mkubwa.

TAFADHALI WASILIANA NA MIMI TYGER TRAINER 📞0686704593 TYGER TRAINER

TAFADHALI WASILIANA NA MIMI TYGER TRAINER 📞0686704593 TYGER TRAINER 📞0686704593 TYGER TRAINER

30/12/2023

Hayo ni mazoezi yenye faida kubwa sana katika miili yetu husaidia kulipunguza tumbo lako,kukaza nyama nyama uzembe za tumbo,husaidia kuzijenga ama kuziimarisha six packs iwapo utakuwa katika mpangilio mzuri wa ulaji wa vyakula basi itakuwa ni raisi k**a ukifanya mazoezi ya tumbo na tumbo lako kukupa mabadiliko.

Kwa mahitaji ya Mwalimu wa mazoezi (TRAINER) Basi usijali wasiliana na mimi kupitia page yangu hii ama kwa watsap.

TAFADHALI WASILIANA NA MIMI TYGER TRAINER 📞0686704593 TYGER TRAINER

TAFADHALI WASILIANA NA MIMI TYGER TRAINER 📞0686704593 TYGER TRAINER 📞0686704593 TYGER TRAINER

29/12/2023

WEIGHT LOSS WORKOUTS. labda niwasaidie hapa watu wa (BodyGymFitness) naomba mnielewe hapa najua wengi hupenda mazoezi ya kunyanyua uzito tu!(weight press) lakini naomba niwafahamishe ukifanya mazoezi hayo tuu! huwa ynakulemaza na unajikuta unatanuka mwili na uzito wa mwili unaongezeka na unakuwa mzito naomba ufike wakati utengenezee Mwili wako upe wepesi na uwe fiti itakusaidia kubalance na uzito unauhijika kwenye mwili wako kwahiyo naomba iwe fundisho hii kwa watu wanaopenda kunyanyua vyuma tuu!

Hayo ni mazoezi mazuri sana yatakusaidia mambo matatu tu 3 👇
✅- kuondoa uzito wa mwili mzima
✅- kukupa pumzi nzuri
✅- kuwa fit
Nawaomba kila zoezi mlilo liona hapo mfanye reps 12x 3 kwa kila zoezi kwa hayo yote.

Kwa mahitaji ya Mwalimu wa mazoezi (TRAINER) Basi usijali wasiliana na mimi kupitia page yangu hii ama kwa watsap namba 0686704593
TAFADHALI WASILIANA NA MIMI TYGER TRAINER 📞0686704593 TYGER TRAINER

TAFADHALI WASILIANA NA MIMI TYGER TRAINER 📞0686704593 TYGER TRAINER 📞0686704593 TYGER TRAINER

28/12/2023

Kwa wale wenye nyama nyama za uzembe kwenye mikono, makwapa na nyama nyama uzembe za nyuma ya mgongo basi haya ni mazoezi mazuri zuri sana kwenu yana faida kubwa san hasa kuziondoa na kuzikaza nyama nyama uzembe iwapo utalifanya kila siku yatakupa matokeo chanya (+), Fanya k**a ivyo kila zoezi reps 12 x round 3

TAFADHALI WASILIANA NA MIMI TYGER TRAINER 📞0686704593 TYGER TRAINER

TAFADHALI WASILIANA NA MIMI TYGER TRAINER 📞0686704593 TYGER TRAINER 📞0686704593 TYGER TRAINER

27/12/2023

HAYA NI MAZOEZI MAZURI YA KUONDOA NYAMA NYAMA ZA MWILI WA JUU (exercises to remove the upper body) Kiukweli dada zangu na mama zangu wengi naomba muige mfano wa mama yetu k**a mnavomuona akiwa chini ya usimamizi wa mwalimu. Wanawake au wamama wengi mmekuwa na miili mibaya hasa miili ya juu wengi mnasumbuliwa na nyama nyama za Mikono na za mgongo pia basi iwapo mkiyafanya mazoezi k**a hayo anayofanya Mwanafunzi wangu basi mtapata matokeo chanya katika miili yenu..
Kila 99 zoezi fanya reps 10 x round3 tu.

Kwa mahitaji ya Mwalimu wa mazoezi (TRAINER) Basi usijali wasiliana na mimi kupitia page yangu hii ama kwa watsap namba 0686704593.

TYGER TRAINER 📞0686704593 TYGER TRAINER 📞0686704593 TYGER TRAINER

TYGER TRAINER 📞0686704593 TYGER TRAINER 📞0686704593 TYGER TRAINER

27/12/2023

Hakuna kitu kinachonipa furaha k**a kuona mwanafunzi wangu anafanya mazoezi kwa moyo labda niwaambie mazoezi ama kitu chochote unachokifanya k**a kweli ukiwanacho serious na ukakifanya kwa moyo basi ni rahisi sana kukupa matokeo mazuri licha ya kuwa nipo mwalimu/ Trainer wake kwaajili ya kumuongoza lakini mwanafunzi wangu anapo fanya mazoezi kwa moyo basi ni njia rahisi ya mimi na yeye kufikia lengo letu.

Kwa mahitaji ya Mwalimu wa mazoezi (TRAINER) Basi usijali wasiliana na mimi kupitia page yangu hii ama kwa watsap namba 0686704593.

TYGER TRAINER 📞0686704593 TYGER TRAINER 📞0686704593 TYGER TRAINER

TYGER TRAINER 📞0686704593 TYGER TRAINER 📞0686704593 TYGER TRAINER

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address

TABATA
Dar Es Salaam
LUHANGA