30/04/2026
Ndio football but na Sisi tupunguze midomo midomo , tunachonga mno kupitiliza wakati kocha wetu ni Muomba Mungu tu!!
Tulionyesha kujiamini kupitiliza nje ya uwanja na kufanya mbwembwe nyingi za kipuuzi,Show za kindezi kibao kabla ya mechi tukasahau uzito wa kukutana na Makolo.
Mnawaaminisha hadi Washabiki wetu kwamba ni ise tu kwetu,Mechi hz hazihitaji mazoea.
Derby haihitaji dharau na tusipokuwa makini watatukanda tena jumapili!!
Na Wallah Wakishinda ntakuja na viboko hapo kaunda kuwatandika.
29/04/2026
Zimebaki Saa Chache Mno kabla ya Wanaume Wawili kutifuana kule Zanzibar.
Ninategemea kuona Mechi nzuri itakayoamua Bingwa wa kombe muhimu la Muungano leo pale Amaan Stadium !!
Natamani kuona Team ya ikishinda tena mechi hii lakini sio rahisi sana,Simba imejiimarisha uwanjani, tunapaswa kudhihirisha ubora wetu kwa mikakati maalum huku tukiweka akiba ya mchezo wa Ligi kuu pale Mbweni Jumapili.
18/04/2026
Hivi Young Africans Sports Club hii inapagazwa na Wahuni kutwa na Taasisi ipo kimya?
Tumelea wenyewe hii hali but kwa hili ntakuja na viboko aisee.
Uongozi usipochukua hatua za kukomesha kashfa kubwa za uongo za Rushwa maana yake tunafanya kweli!!
Nnaloliona mimi ni kuendeleza βUSHKAJIβ ndio maana Taasisi inabagazwa hovyo!!
Take Action ili iwe mfano kwa wahuni wengine.
Yanga ni kubwa mno kupewa tuhuma nzito za hovyo hovyo.
08/04/2026
Jana Yako Ndio Leo Yako Ya Kesho,,,
USIOGOPEπͺπΏπͺπΏπͺπΏ
Wasafi FM
π₯
23/03/2026
Hatimae Moshi Mweupe umeonekana Jangwani Street π€ͺπ€ͺ
From Diwani wa Wananchi na Kariakoo πͺπΏπͺπΏππ
22/03/2026
Ahly Wanafunzi hodari wa falsafa za Team kubwa πΆπ»ββοΈπΆπ»ββοΈπΆπ»ββοΈπΆπ»ββοΈ
Na Yanga,TUSICHELEWE SANA WAKUBWA ZANGU PLS πππ
Kufanya maamuzi tuu,HAITOSHI !!
Kufanya maamuzi sahihi pia.HAITOSHI !!
Na hata kufanya maamuzi sahihi katika wakati sahihi peke yake . HAITOSHI!!
Kufanya maamuzi sahihi katika wakati sahihi na kwa kasi ya kutosha, ili kuokoa muda ndio INATOSHA !!
Jumatatu Ingefaa sana kocha wetu mpya awe kwenye ndege kuja kuanza kazi. Muhimu tuletewe tunae mjua, na awezae kuwafunda vilivyo hawa Wachezaji tulionao sasa!!
Nb: Hayo ni mawazo yangu mwenye Yanga yangu,
Pls nipingeni mimi ila msipinge mawazo sahihi hata K**a yanatoka kwa MSIYEMPENDA π€ͺπ€ͺ
25/12/2025
Ninawatakia kheri ya Sikukuu ya Krismasi Wakristo na Watanzania wote. Tusherehekee sikukuu hii kwa amani, upendo, utulivu, na tukidumisha mshik**ano wa kitaifa.
Mwenyezi Mungu awabariki nyote.ππ