17/07/2024
Katika (Dm) yangu kuna maswali mengi juu yangu na timu ya simba...
Wengi wameuliza kwanini timu inapofanya vibaya au kufukuzwa kocha ndo naitwa kuwa kocha kisha timu ikirudi kwenye njia nzuri naletewa kocha mwingine..
Naomba kuwajibu kuwa mimi na simba tuna mkataba ambao sio mkataba wa mimi kuwa kocha mkuu wa timu ila nimepewa mkataba kuwa nitakapokuwa naitajika katika majukumu ya timu basi napaswa kutekeleza kwa wakati ....
Ninaelewana vizuri na viongozi wangu na ndomana ninapo ambiwa njoo uku nenda kule nafanya k**a viongozi wangu wanavyotaka ....
Niwaombe mashabiki kumpa ushirikiano kocha mkuu kulingana na kikosi chetu msimu huu tunaimani tutafika mbali...
Muda wowote nitaweka wazi nimepangiwa majukumu gani katika timu yangu na nitafanya kazi yangu k**a mwajiliwa....
🗣 Jumanne Mgunda
Simba SC Tanzania SIMBA NI JAMII YETU Son simba damu SIMBA TODAY Simba Sport club Tz Simba NGUVU MOJA Simba Sc African SIMBA SPORT FANS Simba Sport Club SimbaCorp Ke Erasto Simbakalia Young Africans Sports Club Yanga S.C. Yanga Forever Yanga Africans
18/12/2019
18/12/2019