FT' Mtibwa Sugar 0-2 Yanga Sc
Saido Ntibazonkiza 45+ ⚽
Fiston Mayele 67’⚽
MWAKA WETU HUU WANAINCHI.
Habari ZA YANGA
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Habari ZA YANGA, Sports Event, Jagwani, Dar es Salaam.
14/09/2021
Changamkia safari ya Nigeria
Mabingwa wa Kihistoria Tanzania, Yanga wanawaalika Wanachama wapenzi na Mshabiki kujumuika pamoja katika safari ya kwenda kupindua meza Kibabe huko Nigeria.
Gharama ya safari ni USD 1, 200 kwa daraja Economy na USD 2,200 kwa daraja la Business ikijumuisha pia vipimo vya Covid-19 Dar na Nigeria.
Safari ni Ijumaa September 17 na kurudi ni Jumapili Septemba 19, usafiri ni Airbus A 220-300, Air Tanzania.
Wahi sasa nafasi ni chache, twende tukapindue meza Kibabe.
Kwa mawasiliano zaidi piga 0776000002
Habari ZA YANGA Sports Event
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Website
Address
Jagwani
Dar Es Salaam