02/05/2026
Sema hii nchi tumepitia Mengi sana๐๐๐คฃ๐คฃ
Kwa Burudani na Michezo tunakupa taarifa sahihi na zilizochambuliwa kwa kina.
02/05/2026
Sema hii nchi tumepitia Mengi sana๐๐๐คฃ๐คฃ
02/05/2026
๐จ JUST IN
Anicet Oura kaumia tena mazoezini hatokuwa sehemu ya mchezo wa kariakoo derby 03 may
Inasemekana Oura ana injury za mara kwa mara zisizotibika timu yake ya zamani ilimuacha kwasababu hiyo Simba walimsajili akiwa na injury amekaa nayo ndani ya miezi 4 sasa inamsumbua
13/04/2026
๐จ UPDATE:
Simba Sc imefikia makubaliano na winga wa TRA UTD ๐น๐ฟ Ramadhan Salum Ramadhan maarufu k**a Chobwedo kwaajili ya kuitumikia klabu hiyo msimu ujao.
โก๏ธ Pre-Contract already signed (two years)
Confirmed: Ataondoka TRA mwishoni mwa msimu huu.
11/04/2026
๐จ RAMADHAN CHOBWEDO STATS
Match played 18
Goals 0
Assists 0
Goals involments 0
Ukiachana na siasa za mpira wa bongo hamna mchezaji hapa๐ฎ Very wrong singning for Simba Sc
Simba walishikwa bega hapa.
Kuna watu wana ugonjwa wa kusahau humu. Kabla hujasema Pamba vibonde.
Tuwaangalie Gongowazi walivyokula 5G a.k.a Kono la nyani๐. Simba aloshikwa bega hapa ๐
08/04/2026
Hawa ni watu 10 wa nguvu kwa wiki hii walioshiriki na kuchangia mada mbalimbali katika page hii. Tunasema Ahasanteni sana kwa kuwa pamoja nasi.
๐ Anju Mwatujobe, Bakari Salehe, Sady Bin Seif, Ibrahim Amri, Baraka Mitundwa, Ayubu Mathias Nundi, Jovine Kalema, Ngayama Matongo, Kikusa Shomari, Amos Alphonce
08/04/2026
๐จ MAX NZINGELI KWA MASHABIKI WA PAMBA WA KUKODI!
โKuna mchezaji wa Pamba jiji kabla ya mechi alitupa onyo kuwa tujipange, uenda asingesema tungewapa sare. Walijua labda sisi ni Simba, tumewapa wanachostahili!โ
08/04/2026
Anaitwa Allan Andrรฉs Okello Iniesta ๐ฅ
Kwani Gueye ana Assist ngapi huko? ๐๐
Arajiga anasema hakuna foul... Vipi wewe unaonaje hapa?