Heri ya Siku ya Mapinduzi ya Zanzibar
Jan 12, 2026.
Smartmauzo
SmartMauzo ni application ya usimamizi wa biashara. Inamsaidia mjasiriamali na mfanyabiashara kutunz
MWAKA 2025 UNAMALIZIKA.
Namba za Biashara yako zipoje?
Zinasomeka?
Unarelax Miguu Juu?
Au ndiyo Baaasi Imekwisha!
Anza Vizuri 2026.
Anza na Smart Mauzo
Tupigie +255 753 477 470
Au Tembelea Ofisi zetu zilizopo katika Jengo la Uhuru Heights, Barabara ya Bibi T**i, Posta kwa msaada na maelezo zaidi.
SMART MAUZO
SIMU YAKO MAUZO YAKO
31/03/2025
EID MUBARAK!
Kampuni ya OVAL TECHNOLOGIES pamoja na timu ya SMART MAUZO tunawatakia Heri na Baraka za Sikukuu ya Eid El-Fitr wewe na familia yako.
Tunawatakia amani, upendo, na mafanikio tele katika kipindi hiki cha furaha na mshik**ano. Mwenyezi Mungu aijaze nyumba yako neema na baraka tele.
Eid Mubarak!
13/09/2023
Pichani: Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Oval Technologies Bw. Ally Salum (Watatu kutoka kulia) akiwa pamoja na brotherhoodsurveyservco.ltd watumiaji wa Smartmauzo waliopo Shinyanga, Kanda ya ziwa. Kampuni inayojihusisha na uuzaji wa viwanja,uchoraji ramani za majengo, wauzaji wa vifaa vya ujenzi,utafiti mbalimbali pamoja na survey.
Wafanya biashara wa kampuni za upimaji wa viwanja vya biashara,makazi nk.Karibu kutumia Smartmauzo kwa sababu ni mfumo rahisi wa kuweza kusimamia biashara kwa urahisi. Kwa ufupi brotherhoodsurveyservco.ltd wamejipata
Asante brotherhoodsurveyservco.ltd kwa kutuamini.
Download Smartmauzo leo kupitia play store ama jisajili kwenye website https://smartmauzo.ovaltechtz.com/register
kwa msaada zaidi tupigie 0753477470
Karibu SMART MAUZO!!
13/09/2023
Uongozi wa kampuni ya Oval Technologies Tanzania Limited na timu nzima ya Smart Mauzo,
Tunapenda kuwatakia kila la heri wanafunzi wa darasa la saba katika kukamilisha safari yao ya elimu ya msingi.
12/07/2023
KWANINI UHAKIKA, USIRI NA USALAMA
UHAKIKA- Mtumiaji wa SMART MAUZO ana uhakika na taarifa za biashara yake kila wakati. Linapokuja Suala la kujua ameuza nini na ame muuzia nani hilo ni jambo dogo kwakua taarifa za wateja wake na wasambazi wake zipo mkononi mwake.Mtumiaji wa SMART MAUZO utapata ripoti ambazo zitakupa uhakika wa biashara yako wakati wote mahala popote ikiwemo.
-Ripoti za mauzo
- Ripoti za matumizi
- Ripoti za manunuzi
- Ripoti za kifedha
- Ripoti ya faida na hasara
- Ripoti ya muuzaji
USIRI- Mtumiaji wa SMART MAUZO utakua na usiri na taarifa zako za kibiashara kutokana na kwamba sio kila taarifa ya kibiashara ataona muuzaji wako. Ukiwa na SMART MAUZO utaweza kuona na kupanga mikakati ya biashara yako kila unapoisha mwezi ili kujua unajipanga vipi kwa mwezi ujao.
USALAMA- Mtumiaji wa SMART MAUZO taarifa zake zinakua mahala pa utulivu na bila mambo kuvurugika ikiwemo kuchanganya kumbukumbu za taarifa zake vilevile ni ngumu kwa mtu mwingine kujua malengo yake ya kibiashara anayopanga kila baada ya kufunga mwezi.
Download SMART MAUZO leo kupitia play store ama jisajili kwenye website https://smartmauzo.ovaltechtz.com/register
kwa msaada zaidi tupigie 0753477470
Karibu SMART MAUZO!!
10/07/2023
Katika maisha ya biashara kuna kupanda na kushuka, Ukiwa k**a mfanyabiashara hakuna kukosa furaha ikiwa mambo yako umeyapanga yaende k**a unavyotaka. Biashara yako ikitumia hauna sababu yakukosa furaha kwenye maisha yako ya kibiashara maana kila kitu kipo mahala salama. Haijalishi unabiashara ngapi au una bidhaa kiasi gani.
Download SMART MAUZO leo kupitia play store ama jisajili kwenye website https://smartmauzo.ovaltechtz.com/register
kwa msaada zaidi tupigie 0753477470
Karibu SMART MAUZO!!
24/06/2023
24/06/2023
NEW VACANCIES @ OvalTech
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Contact the business
Telephone
Website
Address
Uhuru Heights, Posta Dar Es Salaam
Dar Es Salaam
Opening Hours
| Monday | 08:00 - 17:00 |
| Tuesday | 08:00 - 17:00 |
| Wednesday | 08:00 - 17:00 |
| Thursday | 08:00 - 17:00 |
| Friday | 08:00 - 17:00 |
| Saturday | 08:00 - 17:00 |