Makarius wilfred muba

Makarius wilfred muba

Share

04/05/2026

Full time

04/05/2026

Ukitazama wakati mpira unatoka kwenye mguu wa Mpanzu tayari Chama alikuwa kwenye eneo la kuotea hvyo according to my VAR goli la Chama halikustahili kuwa goli kwaninilikuwa ni Offside

01/05/2026

Ulianza kuangalia Kombe la Dunia mwaka gani?

30/04/2026

Gigy Money ndani ya usiku wa uzinduzi wa Vinjabei Bet. Historia imeandikwa leo ndani ya The Superdome Masaki.

30/04/2026

Jeshi la wanamaji la Pakistani kuongeza manowari za hali ya juu za China

Bonyeza kiungo kwenye maoni hapa chini ⬇️

30/04/2026

Mwaka 2004 lilitokea tukio hili la Golikipa Fabian Barthez kukojoa ndani ya Pitch wakati mechi ikiwa inaendelea.

Mwamba hakuwaza Wala nini yeye alitoa mtulinga na kuanza kukojoa muda huo mashabiki wakiwa wanatazama na mwamba Wala hakujali.

Pamoja na hayo mwamuzi alimuonesha KADI nyekundu 🟥 na kutoka mchezoni lakini sio Kwa tukio la kukojoa kwenye pitch ni kwakosa jingine...

Goal Insight

FOLLOW US.

30/04/2026

BREAKING 🔴: Kocha Jürgen Klop amekataa ofa ya Frolentino Perez Ili awe kocha mkuu wa klabu ya Real Madrid C.F. kuanzia msimu ujao.

Kocha Jürgen Klop yupo kwenye mazungumzo na shirikisho la mpira wa miguu nchini Ujerumani 🇩🇪 (DFB) Ili aje kuwa Kocha mkuu wa timu ya taifa hilo.

source: [ Diario AS ]

Goal Insight

FOLLOW US.

30/04/2026

Onyesho la nusu fainali ya Kombe la Dunia linaweza kuchukua dakika 30.

Onyesho linalowashirikisha wasanii wengi linatarajiwa na viwanja na vifaa mbalimbali vitalazimika kujengwa na kubomolewa.

Kombe la dunia k**a mwaka itakuja na bwebwe nyingi ni vile tu Iko marehemu.

22/04/2026

Nchi ambazo Marekani haiwezi kuzivamia.

21/04/2026

Waziri wa mambo ya ndani wa Urusi awasili Korea Kaskazini kwa mazungumzo

21/04/2026

Wananchi mnaikumbuka hii

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

https://youtube.com/@makariuswilfredmuba-m6t?si=YH6TLA

Address


Dar Es Salaam