Many sports arena

Many sports arena

Share

🗺️🌐kwa tarifa za soka⚽, michezo duniani kote
❤️ follow ukae nasi karibu

20/08/2026

Leo hajafunga ila alionekana kuwa mwenye furaha na alikuwa mstari wa kwanza kushangilia magoli ya wenzake.

Lengo mama ni timu kushinda kabla ya mfanikio binafsi…..Shasha anaipambania Nembo ya Yanga 🙌

20/08/2026
20/08/2026

Singida Black Stars wamemrejesha Mchezaji wao Mohamed Damaro baada ya mkopo wake wa miezi 6 na Yanga kuisha.

20/08/2026

Hakuna Clean Sheet kwa Diarra katika mechi 2 mfululizo!!

Wagosi wanapata bao 1😉

20/08/2026

Tayari huko FVS imefanya yake na Geofrey Manyasi Captain wa Coastal Union anatolewa nje kwa Kadi nyekundu

20/08/2026

🎉 Facebook recognized me as a consistent post creator this week!

20/08/2026

Mchezaji Ibrahim Jabaar kupitia Insta story yake amekiri kosa na kudai hana sababu ya kujitetea bali amekubali kuwajibika na huo ndio Mpira wa miguu na hiyo ndio maana ya kuwa Mchezaji wa Kimataifa, hatafuti CHAKA la kujificha bali kukiri na kuwajibika.

20/08/2026

HAJI MANARA 📌

19/08/2026

Huyu Chilambo mmemzingatia vizuri kule shavu la Kulia namna ametulia huyu Mngoni? Top top top performance kutoka kwake.

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address


Dar Es Salaam