10/02/2026
Rasmi KIBU DENIS si mali ya simba tena alibakiza mkataba wa miezi Sita (6) na timu yake ya simba kukubali ofa ya million 700 kibu Denis kutimkia nchini libya
JE nipigo kwa simba/ ni faida kwa simba
Dondosha comment yako chini hapo
05/02/2026
Sakata la simba ulivyofuatilia upande upi una changamoto
✍️ JE mashabiki kumpa masaa 72 MO dewj ni sahihi?
Tubishane kwa fact kwenye comment
31/01/2026
Timu ya simba imetangaza nafasi za kazi katika upande wa mashabiki HAYA SASA MCHANGAMKIE FURSA SIO KUMKOSOA MANGUNGU TUU PELEKA MAONO YAKO TIMU YAKO ISONGE MBELE
mda wa mashabiki kutulia kusapoti timu na kushawishi vijana wenye sifa na uchungu wa timu yenu punguzeni malalamiko jitokeze uombe nafasi
Mimi mjumbe nimefikisha ujumbe wangu
30/01/2026
RASMI club ya yanga imemtangaza mchezaji BUBA JAMMEH kuwa ni mali ya wananchi anacheza winga zote mbili ni fundiiii Sana huyu jamaaaa HILI NI BALAA JIPYA MJINI
NIPANGIE KIKOSI CHA YANGA KWENYE COMMENT
22/01/2026
Nini maoni yako
JE sahihi simba kumrudisha chama
18/01/2026
Anaitwa Olivier toure ni beki wakati yaani anacheza namba zote mbili 4 na 5 chanzo cha ndani ya simba kuwa wamemalizana nae na yupo Dar es salaam ni mtu wa maana kabisa
Hapa simba wamepata mtu kazi
17/01/2026
Rasmi club ya simba imemtambulisha mchezaji libasse gueye raia wa Senegal anasifa ya kucheza Winga zote mbili pamoja na namba 10 ile ya kisasa iko fasta na ni hatari mbele ya goli
Mtambo wa mabao na assist umetua msimbazi
✍️ Sultan Jamal
16/01/2026
Je ni nani?
Shusha maoni yako atakaepatia atajishindia 50000
16/01/2026
Simba imemsajili DICKSON KIBABAGE k**a mbadala wa Antony mligo japo dili hili linamgogolo wa pande mbili upande wa club ya SINGIDA BLACK STAR na mchezaji DICKSON KIBABAGE
Upande wa club unadai DICKSON KIBABAGE anamkataba na bado haujaisha hivyo wanahitaji timu inayotaka huduma ya mchezaji huyo wafike mezani kwa makubaliano na biashara iendelee
Upande wa mchezaji anajua amemaliza mkataba wake ni free agent
✍️ Chanzo cha karibu ndani ya simba
# # sultan Jamal
14/01/2026
ZANDAANI anasubiliwa tajiri atie pesa MCHEZAJI ashuke jiji la maji chumvi mtaa wenye mpilikapilika kariakoo
Timu ya al ahly Tripoli imetoa baraka kwa mchezaji wake mabululu kuitumikia club ya simba baada ya viongozi wa club hiyo kufuata utaratibu wa kukutana na club ya Libya Al ahly Tripoli kilichobaki viongozi wa simba kumalizana na mchezaji chanzo cha karibu ndani ya simba kimethibitisha taarifa hizi
# # one chance one goal
✍️ Sultan Jamal
07/04/2024
Tarehe 27/1/1960 alizaliwa kitofuvu cha maendeleo na mwanasiasa huru huko visiwani mwenye ndoto kubwa na maono ya kuivusha tanzania nchi ya ahadi akukata tamaa na akusita kuchukua maamuzi aliweka vipaumbele vyake ambavyo ni ukweli,uwazi na uwajibikaji je wajua alifanya nini na alipita vipi kufikisha tanzania nchi ya ahadi?
UKWELI NI NINI
ni usahihi wa jambo fulani au taarifa fulani tunaona Dr Samia suluhu hassan alivyokuwa mkweli na mtimivu wa ahadi na utendaji wake serikalini mfano sekta ya elimu ameahidi na kutimiza kwa kujua hakuna nchi inayosonga mbele bila elimu na kuboresha shule na kujengwa shule mpya ambazo zitasaidia watoto wa kitanzania kupata elimu na kuweza kupiga atua za maendeleo shule zilizoboreshwa k**a ufundi mtwara sekondari, ruvu sekondari, tabora wavulana na nyingine zaidi ya 84 akuishia hapo aliahidi atawaongezea wanafunzi wa ngazi za juu kuwa pesa ya kujikimu kutoka 8500 mbaka 10000 na kuwarudisha shule watoto wa k**e ambao wamerudishwa shule kwa sababu ya kupata mimba na n.k ila Dr samia suluhu hassan amesimamia ukweli ndani yake
Itaendelea........
30/10/2022
Haimbwi sana kwakua anafanya kazi yake hipasavyo tunasubiri akosehe tuanze kosoa katika kiwango bora kila kukicha ngolo kante wa bongo Mzamiru Yassin kila kukicha unazidi kutupatia kitu kipya kutoka kwako kila upande hupo juu hupo chini hupo kwenye attack na defence NENO MOJA KWA KIUNGO WA TZ
Zee la busara