Sports news tanzania

Sports news tanzania

Share

Update zote za kimichezo nje na ndani ya tanzania utazipata hapa sports news Tanzania tunaikubali sanaaa%%‰

29/12/2023

RASMI : Mchezaji wa Al Nassr ya Saudi Arabia, Cristiano Ronaldo (38) ameshinda tuzo ya Mfungaji bora wa mwaka, baada ya kufunga mabao 53 tuzo inayotolewa na Shirika la takwimu Duniani IFFHS.

🇵🇹 Cristiano Ronaldo - Mabao 53
🇫🇷 Kylian Mbappe - Mabao 52
🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Harry Kane - Mabao 52
🇳🇴 Erling Haaland - Mabao 50

29/12/2023

Tanzania itacheza na Namibia kwenye mchezo wa kufuzu AFCON Futsal 2024 ikianzia ugenini na kumalizia nyumbani mwezi Februari. news tanzania

29/12/2023

SIRIAZI? Orodha ya wanasoka 100 bora duniani imetoka na utashangaa Cristiano Ronaldo hayumo. Ndiyo hivyo. Mkali huyo anayekipiga Al Nassr ya Saudi Arabia, hayumo kwenye orodha hiyo, huku Jude Bellingham akitajwa kwenye namba mbili. . Wakati mwaka 2023 ukielekea ukingoni, mtandao wa FourFourTwo umetoa orodha ya wanasoka walioonyesha ubora mkubwa kwa kuanzia mwaka jana hadi sasa na kwenye orodha ya wakali 100, supastaa Ronaldo hayumo. Mastaa k**a Bruno Fernandes, Gabriel Martinelli, James Maddison, Virgil van Dijk na Son Heungmin wamejumuishwa kwenye 100 bora, lakini Ronaldo mwenye Ballon d’Or tano amekosekana. . Hata hivyo, mpinzani wake wa miaka mingi, Lionel Messi bado yumo kwenye orodha licha ya kushindwa kuwamo kwenye Tano Bora. Messi, aliweka rekodi ya kushinda Ballon d’Or yake ya nane, ametajwa kushika namba sita kwenye orodha hiyo ya FourFourTwo ya kuhusu wanasoka 100 bora duniani. Messi, 36, aliisaidia Argentina kushinda Kombe la Dunia mwishoni mwa mwaka jana na kushinda Golden Ball na Juni mwaka huu alijiunga na Inter Miami alipoachana na PSG k**a mchezaji huru, ambako amefunga mabao 11 na kuasisti mara tano.

29/12/2023

Ratiba ya Kundi F AFCON 2023

news tanzania

29/12/2023
Photos from Sports news tanzania's post 29/12/2023

Ratiba ya Mapinduzi CUP 2023

31/10/2022

Simba sc vs mtibwa sugar

31/10/2022

Manchester city

18/08/2022

Ratiba ya mzunguko wa 02 NBC Tanzania Nara

18/08/2022

MSIMAMO LIGI KUU TANZANIA BARA MECHI ZA ROUND YA KWANZA 2022/2023

Photos 11/08/2022

Baraka za mfungaji wa Goli Bora la Mwaka la CAF zimemfikia Nelson Okwa.

Makubwa yanakuja.

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Address


Mbezi Beach Dar Es Salam
Dar Es Salaam