20/07/2025
Mchezo wetu wa kwanza pre season dhidi ya leeds United uliisha kwa sare tasa
nini maoni yako?
MUSTF ni NGO inayojihusisha na Uchangiaji damu, Kusaidia Watoto Yatima, Kutembelea Wagonjwa ,Kusafis
20/07/2025
Mchezo wetu wa kwanza pre season dhidi ya leeds United uliisha kwa sare tasa
nini maoni yako?
07/04/2023
*TUANGALIE GAME PAMOJA NA TUZUNGUMZE KIDOGO*
Ndiyo ndiyo naaaaam naaaaam baada ya muda mrefu sana kupita bila kukaa pamoja na kuangalia game pamoja tumeamua sasa tuurudishe huu utamaduni wetu kwa kuanza na game dhidi ya Everton siku ya kesho Jumamosi..
Dhumuni kubwa ni kukutana pamoja na kupanga namna ya kuurudisha huu umoja wetu uliokuwa na tija kubwa sana kwetu binafsi na jamii nzima kwa ujumla wake..
Unachotakiwa kufanya ni kufika pale Mlimani City kuanzia saa 7:00 mchana binafsi utanikuta ila usisahau kubeba walau Tsh 2000/- tuu kwa ajili ya huduma za pale ndani wakati tukiwa tunaangalia mpira..
Vaa jezi yako nyekundu ya Manchester United kusudi Mlimani City wajue kuwa taasisi ya Manchester United Supporters in Tanzania tupo hapo kwa ajili ya furaha ya mpira mzuri kutoka kwa kocha kijana wa dunia Erik ten Hag huku tukiweza kuvuta raia kadhaa wapya ambao pengine wataungana nasi siku hiyo hiyo ya game..
Mtaarifu rafiki yako kusudi naye amwambie rafiki yake waweze kuja kwa pamoja na watu 15 wa awali kufika nitakuwa na surprise zao..
Ukifika tuu Mlimani City tafadhali wasiliana nami kwa *0717301966* ama *0756953032*
_ONCE RED ALWAYS A RED_
*GGMU*
o
11/03/2021
19/09/2020
Manchester United v Crystal Palace: match preview
Saturday 5.30 PM
Premier League
Venue Old Trafford
Last season Manchester United 1 Crystal Palace 2
Referee Martin Atkinson
TUNAENDA KUANZA LIGI
19/09/2020
Manchester United v Crystal Palace:
match preview
Saturday 5.30pm Sky Sports Premier League
Venue Old Trafford
Last season Manchester United 1 Crystal Palace 2
Referee Martin Atkinson
TUNAENDA KUANZA MSIMU
07/04/2018
UNAKOSAJE KUWEKA HISTORIA HII?
Tumerudi tena. MUST(Manchester United supporters in Tanzania) inawaalika mashabiki wote wa Manchester United walioko pembe yoyote ya Mkoa wa Dar es Salaam katika kikao chetu cha kuijenga MUST mpya, tarehe 21/04, kitakachofanyika Sinza kwa Remy, *Kwalalumpa*
Tunawaalika wanachama wa zamani na wanachama wapya, ni wakati wako nawe kua sehemu ya familia hii kubwa duniani.
USIKOSE, MTAARIFU NA MWENZAKO, MUST MPYA INAJENGWA NA WEWE
MAWASILIANO:
*AYOUB HINJO*
0787624009
0717772772
*BAB CHICO*
0717685055
*FABIANO {FABBY}*
0713681121
0622681121
15/08/2017
*LIBERTY STADIUM IMEHAMIA BREAK POINT KINONDONI*
Manchester United Supporters In Tanzania *(MUST)* mapema Jumamosi hii tutakuwa pale Break point, Kinondoni karibu na uwanja wa Leaders Club.
Karibu tujumuike pamoja kuangalia mechi ya Swansea City ambao watawakaribisha Manchester United kwenye mchezo wa pili wa Ligi Kuu England, utakaopigwa *saa 8:30 Mchana.*
Pamoja na kuangalia kwa pamoja, siku hiyo tutafanya tendo la huruma kwa ndugu yetu *FARIDA* ambaye amefiwa na baba yake, kipindi cha hivi karibuni tutaenda kumfariji p1 na kukabidhi *Rambi Rambi* zetu kwa *familia* yake.
Safari ya kwenda kwao itafanyika *Baada ya mechi*. Hivyo kwa umoja wetu tunaombwa tuungane kwa pamoja baada ya mechi na kwa umoja wetu twende tukamfariji mwenzetu.
Fika saa moja kabla mchezo kuanza ili kufahamiana zaidi. Pia usisahau kuja na *Tsh1000/=* na kuendelea ikiwa ni kiingilio cha kinywaji.
*Umoja wetu ndio nguzo yetu, kila mmoja anakaribishwa.*
Kwa maelezo na maelekezo yoyote unaweza wasiliana na
*Bob Chico*
*Katibu Must.*
28/05/2017
Ni vigumu kuamini..... Hakika kila nafsi itaonja umauti..... Pumzika kwa amani Shose....... Hakika ni msiba mkubw kwa wana wote.......
27/01/2017
Are you ready???
stay tuned
26/01/2017
Manchester United fan??? Stay tuned
Nadhan ushaanza kuelewa