Rickie Afva Care

Rickie Afva Care

Share

Nutritional Supplements thats cure, prevents disease & enhance your health/Make your mental, physical health fit. call us ☎️+255749961961

23/11/2024

wa/call +255749961961

*•KIHARUSI (Stroke)*

🗣️Ugonjwa wa stroke humpata mtu ghafla na dalili hutokea kwa muda mfupi sana.Dalili kuu za ugonjwa huu ni:

✨ Kuchanganyikiwa,mtu akipata shida ya kuongea na kuelewa anachoambiwa

✨Maumivu ya kichwa yanakwenda pamoja na kupoteza fahamu kwa vipindi na kutapika

✨Ganzi katika viungo vya uso,mkono na mguu na hasa vikiwa vya upande mmoja wa mwili

✨Kupata shida ya kuona kwa jicho moja au yote

✨Kupata shida ya kutembea vikichanganyika na kizunguzungu na kukosa mpangilio wa matendo ya mwili



🗣️Athari za kiharusi zinaweza kuwa ni za muda mrefu. Kulingana na muda uliopita kabla ya kuugundua na kuutibu ugonjwa huu,mtu anaweza kupata ulemavu wa muda mfupi au wa kudumu.pamoja na madhara ya stroke k**a yalivyoorodheshwa hapo juu,mgonjwa wa stroke anaweza pia kupata yafuatayo:

⚡ Msongo wa mawazo

⚡Maumivu kwenye mikono na miguu yanayoongozeka baada ya viungo hivyo kufanya kazi au kutokea mabadiliko ya hali ya hewa.

⚡Kupooza au udhaifu wa upande mmoja wa mwili.

23/11/2024

PURE AND BROKEN call/wa +255749961961
Kiini Cha Uyoga Mwekundu🏵️✅

Baadhi za kazi zake ni zifuatazo:
🏵️Hupandisha CD4 mwilini
🏵️Huongeza Kinga mwilini
🏵️Ni nzuri kwa walio ugua mda mrefu
🏵️Ni nzuri kwa wenye shida ya homa ya ini
🏵️Ni nzuri kwa waliokuwa na shida ya kutanuka kwa Moyo
🏵️Ni nzuri kwa waathilika wa VVU
🏵️Huongeza nguvu Mwilini
🏵️Nzuri kwa wenye shida ya shinikizo la damu
🏵️Nzuri kwa wenye shida ya Kisukari
🏵️Huondoa Sumu mwilini
🏵️Huondoa uvimbe mwilini
🏵️Huondoa goita ikitumika na Zaminocal plus
🏵️Huondoa Maumivu makali wakati wa hedhi
🏵️Huondoa Maumivu makali ya viungo mwilini
🏵️Huongeza uwezo wa mwili kutengezeneza damu
🏵️Huimarisha seli za ubongo hivyo hudhibiti hali ya kusahau
🏵️Huimarisha macho
🏵️Huongeza nguvu za kiume
🏵️Huondoa vimelea vya Saratani
🏵️Huimarisha ngozi yako
🏵️Hutibu magonjwa katika mfumo wa upumuaji
🏵️Hutibu Ugumba
🏵️Huondoa changamoto ya kukosa hedhi
🏵️Huondoa hernia Aina zote ikiwa na Yunzhi pamoja na ( novel au Prostatrelax capsules) kulingana na eneo ilipo na kwa jinsia husika
🏵️Hujenga Kinga ya mwili dhidi ya magojwa mbalimbali.

Kwa ubora wa afya na Kinga ya mwili tumia Uyoga mwekundu mara moja hata kwa miezi mitatu,Mwili wako utakuwa imara hii ni dawa iliyotengenezwa kwa ubora mkubwa zaidi na inakazi Kubwa kuliko vile unavyodhani.

Unakosaje kuitumia pure K**a unauwezo nayo?

Uwe unaumwa au huumwi pure ni kitu sahihi na Ni mhimu kwako kuitumia....🔥

23/07/2024

*KWANINI UTUMIE FEMICARE? FAIDA ZAKE KWA MWANAMKE*

♥️ Inaondoa harufu mbaya ya uke.
♥️ Husaidia kutibu maradhi ya njia ya mkoji au U.T.I SUGU.
♥️ Huweka uke kuwa msafi na Salama.
♥️ Husaidia kusafisha na kutibu mirija ya uzazi.
♥️ Husaidia kurudisha kuta za uke zilizolegea.
♥️ Husaidia kupunguza maumivu wakati wa hedhi.
♥️ Inatibu P.I.D, endapo ikitumika pamoja na vidonge vya refined.
♥️ Husaidia kurudisha uteute kwa wenye shida ya uke kuwa mkavu.

Femicare itarudisha furaha yako 🥰
Popote inakufikia tupigie simu +255749961961

23/07/2024

𝗙𝗔𝗛𝗔𝗠𝗨 𝗝𝗨𝗨 𝗬𝗔 𝗧𝗔𝗧𝗜𝗭𝗢 𝗟𝗔 𝗡𝗚𝗜𝗥𝗜 (𝗛𝗘𝗥𝗡𝗜𝗔) 👇
Tatizo hili la ngiri hutokea pale ogani au viungo vya tumboni K**a vile utumbo vinapoweza kuingia misuli au tishu zilizowazi katika kuta za tumbo au korodani.

𝗦𝗔𝗕𝗔𝗕𝗨 𝗭𝗜𝗡𝗔𝗭𝗢𝗪𝗘𝗭𝗔 𝗞𝗨𝗦𝗔𝗕𝗔𝗕𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗧𝗔𝗧𝗜𝗭𝗢 𝗟𝗔 𝗡𝗚𝗜𝗥𝗜 (𝗛𝗘𝗥𝗡𝗜𝗔) 👇
Zipo sababu mbalimbali zinazoweza kupelekea mtu kupata tatizo la ngiri k**a zifuatazo.
👉 Umri.
👉 Uzito mkubwa.
👉 Kunyanyua vitu vizito.
👉 Kikohozi cha muda mrefu.
👉 Kukosa choo au kupata choo kigumu (Constipation)
👉 Kurithi yaani hutoka kizazi hadi kizazi ndani ya ukoo.

𝗗𝗔𝗟𝗜𝗟𝗜 𝗭𝗔 𝗧𝗔𝗧𝗜𝗭𝗢 𝗟𝗔 𝗡𝗚𝗜𝗥𝗜 (𝗛𝗘𝗥𝗡𝗜𝗔)👇
Tumbo kujaa gesi.
Tumbo kuungurumba mara kwa mara.
Kupata choo kigumu, au kutokupata choo
Maumivu ya mgongo na kiuno.
Maumbile ya kiume kuwa madogo Kuvimba kwa korodani moja.
Kupotea kwa korodani.
Ngiri maji (korodani kujaa maji Kupata Tatizo la Busha
Maumivu ya korodani zote mbili au moja wapo.
☘️Kwa Matibabu na Ushauri tupigie simu+255749961961

23/07/2024

🍀DALILI ZA BAWASILI 🍀
👉maumivu wakati wa kujisaidia haja kubwa
👉Damu kutoka wakati wa kujisaidia
👉kupata muwasho sehem ya haja kubwa
👉uvimbe au kinyama kuota sehem ya haja kubwa
👉hajakubwa yaweza kujitokea mda wowote
👉choo kuwa kigumu au muda mwingine kukosa choo kwa siku hata tatu
👉maumivu makali ya kiuno na mgongo
👉tumbo kujaa gesi mara kwa mara
👉kutokushiba vizuri au kupata njaa baada ya muda mfupi kumaliza kula.
👉kukosa usingizi
👉watu wengine macho kuwa mekundu

🍀ATHARI ZA BAWASILI🍀
👉upungufu wa dam mwilini
👉kinyesi kutoka bila kujitambua
👉kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa
👉kupungukiwa nguvu za kiume kwa wanaume
👉kupungukiwa uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu
👉kupata tatizo la kisaikolojia

🍀NJIA ZA KUJIKINGA DHIDI YA BAWASILI🍀
👉kula mboga za majani na nafaka zisizokobolewa kwa wingi.
👉kunywa maji mengi lita sita au 12 kwa siku
👉acha kufanya tendo kinyume na maumbile
👉punguza kukaa chooni kwa muda mrefu, kunaweza kusababisa shinikizo la dam sehem ya haja
NB:Kwa Matibabu na Ushauri tupigie simu +255749961961

27/06/2024

*•DALILI ZA MVURUGANO WA HOMONI.*
*{HOMONAL IMBALANCE}*

*•Moja kati ya dalili hizo pamoja na;*
*🌷Ukavu ukeni.*
*🌷Kutoka jasho usiku.*
*🌷Kukosa usingizi.*
*🌷Uchovu wa mara kwa mara.*
*🌷Hasira za mara Kwa mara.*
*🌷Kuota ndevu Kwa Mwanamke.*
*🌷Kutoa damu ya period yenye mabonge mabonge.*
*🌷Maumivu wakati wa tendo la ndoa.*
*🌷Maumivu chini ya kitovu wakati wa hedhi.*
*🌷Kukosa hedhi kwa muda mrefu aliyakua hujafika* *ukomo wa hedhi.*
*🌷Kukosa hamu ya tendo la ndoa.*
*🌷Mabadiliko ya siku za hedhi/Kupata hedhi ya muda mrefu unaozidi siku saba '7' au kupata heavy* *bleeding inayo jaza Pedi Kwa lisaa tyu!!.*

*NB:P.I.D,fangasi sugu hasa candida's na Kukosa choo kwa muda mrefu yani unapata milo mitatu '3'* *choo unapata mara moja Kwa siku au week nayo* *huchangia homones kivurugikaa.*

*Call/me +255749961961*
*Kwa ushauri na matibabu.*

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address


Dar Es Salaam