05/07/2022
new kitty
Khajima is a 4th division league football club based at mbagala dares salaam.
05/07/2022
new kitty
27/06/2022
zawad ya khajma bonanza
27/06/2022
bingwa wa khajma bonanza ni DODOLI FC
27/06/2022
fainal khajma bonanza ni khajma vs dodoli fc
matokeo dodoli 2 khajma fc 1
22/06/2022
Mnakaribishwa wote wadau wa khajma FC. Siku ya trh 25/26 kwenye BONANZA litakalofanyika katika uwanja wetu uliopo shule ya msingi KIBONDEMAJI.. ukifika hapo ulizia uwanja wa khajma
Mpira ni afya mpira burudan mpira ni ajira.
Wote mnakaribishwa 🤝🤝🤝🤝
15/06/2022
vijana wetu wa khajma tulikua kwenye mashindano ya teffa cup
28/04/2022
safi kijana wetu beki makin beki atar
16/04/2022
viungo wa kazi mido 6 na mido 8
saidi na ally
16/04/2022
baada ya muda kupita kutokua na uwanja wamazoezi hatimae timu imeludi tena natumepata kiwanja kwa mazoezi tunakaribisha tim zote kuja kwaajili ya michezo ya kirafiki ahsante
14/09/2020
Usajili unaendelea na mandaliz ya lig dalaja la3