Nyie watu wa dsm na dodoma, nauliza tu kutoka huku tarime...hivi kuna tofauti ya mdoli na mwanasesele?
Seko Sports
Seko Sports for sports entertainment in the world. All sports news!!
22/04/2024
kumiliki bidhaa uipedayo sio kazi ngumu tena ukiw popote pale Tanzania. Bado wewe tu kutimiza maleng ya kumiliki bidhaa yako pendwa.
Pakua app ya sasa na ujionee tofauti.
22/04/2024
Nunua bidhaa kutoka kwa wauzaji waiothibitishwa ndani ya app ya na kisha uweze kwa hadi siku 90.
Chagua bidhaa kutoka brands zaidi ya 200 na bidhaa zaidi ya 100,000.
15/04/2024
Kufanya biashara Tanzania imekuwa rahisi kwa kutumia KibubuAp.
KibubuApp inawaunganisha wauzaji na wanunuzi wa bidhaa ambapo wanunuzi wanaweza kulipia bidha kidogo kidogo.
KibubuApp imekusudia kutatua tatizo la wanunuzi kutokuwa na fedha za papo kwa papo ili kuweza kununua bidhaa kwa kuaziasha mfumo wa kulipia kidogo kidogo kwa awamu.
Kupitia mfumo huu wateja wanaweza kutimiza malengo yao ya kumiliki bidhaa wazipendazo.
Ndani ya KibubuApp, kuna wauzaji waliothibitishwa na mfumo mzuri wa malipo ya mtandaoni papo hapo.
Pia wateja wanaotumia KibubuApp wanweza kuweka fedha kidogo kdogo ndani ya Wallet yao kwa ajili kununua bidhaa ndani ya KibubuApp.
Hadi sasa watumiaji zaidi ya 2000 wamejisajili kutumi huduma hii pendwa kwa watanzania.
KibubuApp ina malengo ya kutanua huduma zake na uwa na mfumo wake wa malipo pamoja na huduma zingine ndani yake kwa kipindi cha miaka mitano angu kuanzishwa kwake.
23/11/2022
Vigogo waendelea kuchakazwa.
Ujerumani k**a Argentina.
22/11/2022
MANCHESTER UNITED NA CRISTIANO RONALDO "WAPEANA TALAKA"
“Baada ya mazungumzo na Manchester United, tumekubaliana pande zote mbili kumaliza mkataba wetu mara moja.
Naipenda Manchester United na ninawapenda mashabiki, hilo halitabadilika kamwe.
Walakini, ninahisi k**a ni wakati mwafaka kwangu kutafuta changamoto mpya kwa kazi yangu.
Nawatakia Manchester United kila la heri kwa kipindi kilichosalia cha msimu huu na kwa siku zijazo”.
Taarifa ya CR7
22/11/2022
Saudi Arabia yaichapa Argentina ya akina Messi kwa 2-1.
20/11/2022
Mechibya kwanza imetamatika kwa wenyeji kula kichapo
20/11/2022
HT Qatar 0 - 2 Ecuador
E. Valencia⚽️ 16'(p), ⚽️ 31'
20/11/2022
Hii hapa ndio mpira wa kuotea wa goli la awali la Ecuador lilikataliwa, je una maoni gani?
13/09/2022
TotalEnergies CAF Champions League & Confederation Cup wanauliza swali kwa wananchi Klabu ya Yanga.
Haya tuwajibu hapa......
06/09/2022
Zoran Manojlovic Maki aikacha Klabu ya Simba atimkia Misri klabu ya Al Ittihad SC.
Atambulishwa rasmi saa chache baada ya kuondoka. Al Ittihad wamwaga 'mpunga' uliowazidi klabu ya Simba.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the business
Website
Address
Dar Es Salaam