25/05/2023
... Ligi inayolipa pesa nyingi zaidi Afrika ni DSTV Premiership. Hizi ndizo pesa wanazopokea top four 2023 πΏπ¦
1. π΅ R 15 m - Tsh 1.8+ Billion
2. π΅ R 07.5 m - Tsh 919+ Million
3. π΅ R 03.7 m - Tsh 459+ Million
4. π΅ R 01.5 m - Tsh 183+ Million
25/05/2023
Usajili unaendelea ....
Unadhani baada ya Oscar Oscar nani anafuata katika usajili Wasafi fm Radio ?!
24/05/2023
... π¨
Takwimu za wana fainali wa CAFCC !
YANGA πΉπΏ π©πΏ USM
```````````````````````````````````````````````````
10 ............... Michezo .................. 10
15 ........ Magoli ya kufunga .......... 17
05 ........ Magoli ya kufungwa ....... 08
47 ........... Shot on target .............. 40
06 ............ Cleansheets ................ 05
77% ..... Passing accuracy .......... 72%
3,204 ... Successful Passes ..... 2,515
Cc
24/05/2023
... π¨ Kwa mujibu wa kanuni mpya, mchezo wa ngao ya jamii utachezwa na timu nne.
β
Young Africans
β
Simba SC
β
Azam FC
β
Singida Big stars