10/08/2025
๐จ RANK MPYA ZA LEAGUE ZA NDANI AFRICA (TOP 12)
COV ยณโถโฐโฒ
๐๐ฅ'๐ค ๐ธ๐๐ ๐ธ๐๐ ๐ฆ๐ฅ ๐ฝ๐ ๐ ๐ฅ๐๐๐๐.
โ๐๐ค๐ค๐๐ ๐ ๐ฏ.
๐ผ๐ฉ๐ก๐๐๐ฅ๐๐ฅ๐๐ ๐๐ค โ.
๐
ฐ๏ธ & ๐
พ๏ธ๐น๐ฟ
10/08/2025
๐จ RANK MPYA ZA LEAGUE ZA NDANI AFRICA (TOP 12)
COV ยณโถโฐโฒ
10/08/2025
โณ ZIKIWA ZIMESALIA SIKU TANO KUELEKEA KUANZA KWA MSIMU MPYA WA EPL (2025-26).
Ni mchezaji Gani alivaa na anavaa jezi no 5๏ธโฃ unamkubali Kwa kazi yake chafu dimbani.
COV ยณโถโฐโฒ
10/08/2025
๐จLADIES AND GENTLEMEN ๐ EPL INARUDI.
Ni muda watoto na wake kuziachia remote na wanaume watulivu kuburudika na soka pale sebleni, na pia Kwa mashabiki nongwa kurudi nyumbani saa 6 usiku au ikiwezekana Kesho kabisa (chai) ๐, wale wa vibanda umeza wamenielewa.
Ni muda sasa wa kibonge mwepesi Mbeumo na mwenzake Teka refu kuliko goli Benjamin Sesko kumwamsha shetani wa Manchester.
Ni muda sasa wa mask man Victor Gyokeres na mnaigeria wa mchongo kuifuta laana ya mzee venga.
Ni muda sasa wa Delap, Pedro kuendeleza baridi viunga vya darajani.
Ni muda sasa wa Reijnders na Marmush kuwafanya wananchi wa jijini Manchester kugeuka nyuma huku wakiwa wameshikana mabega wakishangilia mabao.
LADIES AND GENTLEMEN EPL IS BACK ๐ฎโ๐จ.
COV ยณโถโฐโฒ
10/08/2025
โณ FLASH BACK SUNDAY.
Siku k**a ya Leo Lionel Messi alitambulishwa PSG.
Namba zake akiwa PSG zinasomeka k**a hivi;
๐๏ธ MICHEZO - 75
โฝ MABAO - 32
๐ฏ ASSIST - 30
Follow COV ยณโถโฐโฒ
09/08/2025
๐จSAKATA LA MZIZE.
Hii ishu ipo pande tatu, upande wa mchezaji, upande wa mnunuzi UMM SALAL SPORTS ya Qatar, muuzaji YOUNG AFRICANS na wakala wa mchezaji.
๐ UMM SALAL SPORTS - hawa ndio wanunuzi na wameleta ofa mezani ya $900,000 sawa na 2,236,500,000 Tsh.
๐ YOUNG AFRICANS - ofa ya klabu ya UMMA imepokelewa na wameshatoa majibu kuwa ofa imekubaliwa 100% na Wananchi.
๐ Wakala wa mchezaji (MZIZE), yeye kakataa ofa hiyo kutoka Qatar na anamtaka mchezaji wake aende klabu za Misri au Tunisia ambako Kuna klabu zinahitaji huduma ya Walid MZIZE.
Yaani hapa kilichobaki ni wakala wa mchezaji kutoa go ahead ILI mchezaji aende kucheza soka falme za kiarabu.
ยฉ๏ธ Maulid Kitenge
Follow COV ยณโถโฐโฒ
09/08/2025
Total Energies CHAN 2024
23โ Tanzania ๐น๐ฟ 2๏ธโฃ - 0๏ธโฃ ๐ฒ๐ฌMadagascar
โฝ๏ธMzize
โฝ๏ธMzize
08/08/2025
โณ Nikikuuliza mpaka Sasa nitajie Top 3 yako ya wachezaji unaowapigia chapuo kuchukua Balloon dOr.
Me; Osimane Dembele
Raphinha
Ashiraf Hakimi
Tuone na mawazo yako !?
08/08/2025
๐๐ฝ๐ TAHARIFA njema Kwa wote, Uongozi wa Premier League watasitisha mpango wao wa kutumia vitambaa vyenye upinde Kwa makapteni msimu ujao (2025-2026)
๐
๐๐ฝ
08/08/2025
๐ Taharifa ndani ya Brighton zinaeleza kuwa Wana mpango wa kumbakisha kiungo wao mkata umeme Carlos Baleba mpaka dirisha kubwa baada ya msimu ujao (2025-2026).
Wana maono ya kuwa Kwa kumbakisha klabuni hapo kutafanya thamani yake kupanda ILI wamuuze Kwa Bei ya juu k**a Moses Caisedo, aliyeuzwa kwenda darajani Kwa ยฃ115M.
Mpaka Sasa vilabu Yenye mpango wa kumsajili Baleba ni Manchester United na Newcastle United.
08/08/2025
๐ Upande huu Garnacho upande huu Estavio Williams, kati anapiga Pedro alafu kiungo wa juu anacheza Coolest man ๐๐คฆ๐ฝโโ๏ธ.
Tayari huko dogo Kwa ยฃ60M anatimkia darajani.
08/08/2025
๐ Leo Real Madrid wamecheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Leganรฉs, ambapo Madrid wameshinda mabao 4-1 na nyota wa klabu hiyo Kylian Mbappe ameonekana amevaa jezi no.10.
Je, tutegemee kumwona akiitumia no.10 Kwa msimu ujao !?
08/08/2025
๐ฅ Ukiachana na kusajiliwa na Manchester united, unaambiwa Benjamin Sesko amepunguza na mshahara ila vitabu vya red devils vikae sawa.
Anatarajiwa kujiunga na kambi huko Carrington masaa machache yajayo, na atasaini mkataba wa miaka mitano.