YANGA Sports CLUB fans

YANGA Sports CLUB fans

Share

@masesason 0780881280
[email protected]

01/03/2026

πŸ”°πŒπ€π“π‚π‡πƒπ€π˜πŸ”°

πŸ†
πŸ†š Simba SC
πŸ—“οΈ 01 March 2026
🏟️ Amaan Complex
⏱️ 02:15 Usiku


21/02/2026
21/02/2026

conference

21/02/2026

ππ‘π„π’π’πŸ’¬

"Kwanza kabisa napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa watu wote waliotupokea tangu tulipowasili. Mapokezi tuliyopata tangu tulipotua hadi kufika hapa yalikuwa mazuri sana na yametugusa kila mmoja wetu. Ninaamini kila mtu ana hamasa kubwa kuelekea mchezo wa kesho na nguvu hiyo tuliyopewa inatupa motisha kubwa" Pedro Goncalves


21/02/2026

"Kwa bahati mbaya tuna baadhi ya wachezaji wenye majeraha ambao hawakuweza kuja na timu;
β€’ Aziz alipata majeraha kidogo, bado tunaendelea kufuatilia hali yake lakini tuna matumaini si tatizo kubwa.
β€’ Edmond pia ana majeraha aliyopata wiki iliyopita huenda akarejea mazoezini baada ya siku chache.
β€’ Pacome alipata maumivu baada ya kugongana na kipa katika mchezo uliopita, hivyo hayuko katika hali nzuri kwa sasa.
β€’ Kibwana na Mshery pia ni wagonjwa na hakuweza kusafiri.
β€’ Dube alikuwa na tatizo la kiafya wakati wa mazoezi.
β€’ Mzize anaendelea vizuri huku akipata uangalizi wa umakini kabla hajarejea tena kuwa nasi.

Hata hivyo, wachezaji waliopo watafanya kila wawezalo kusaidia timu kupata alama tatu kesho" Coach Pedro


Photos from YANGA Sports CLUB fans's post 21/02/2026

Upendo wa Wananchi Nachingwea kwa Rais wa Klabu yetu πŸ’šπŸ™ŒπŸ½


21/02/2026

Hakuna kupoa mpaka kieleweke, tumefanya mazoezi kwajili ya mchezo wetu wa keshoπŸ”₯

21/02/2026

Muwe na usiku mwema wote

21/02/2026

"Kwa niaba ya Wachezaji wenzangu tumejiandaa vizuri na mchezo wetu wa kesho… na hakuna kingine zaidi ya kupambania kupata alama 3.

Tumeona mapokezi Makubwa ya mashabiki wetu na yametuongezea hamasa kubwa ya kupambana kesho hivyo basi nichukue fursa hii kuwaomba sana Mashabiki wetu kuja Uwanjani kwa wingi kesho" Masalanga


Photos from YANGA Sports CLUB fans's post 21/02/2026

RUANGWA✈️


Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address


Yohanamasesa766@gmail. Com
Dar Es Salaam