07/07/2025
Progress is built on the foundation of knowledge β
Letβs continue to build better for our people, our communities, and our future. πβ¨
π Happy Sabasaba Day from all of us at STK Coaching β
Tunaenzi juhudi, maendeleo na nguvu ya maarifa kwa kizazi cha leo na kesho. ππ½
28/05/2025
π£ Habari njema!
Kwa wote wanaopendelea Kiswahili β Mkalimani wa Kiswahili atakuwepo kikamilifu kwenye Leadership & Business Growth Workshop yetu kesho! π£οΈπΉπΏ
π Hii inamaanisha kila mtu ana nafasi ya KUELEWA, KUJIFUNZA na KUKUWA β bila vizuizi vya lugha.
Jiandae kwa mafunzo ya kipekee ya uongozi na ukuaji wa biashara πΌβ¨
πTukutane kesho β nafasi ni chache sana!
23/05/2025
THE CLOCK IS TICKING!!
Hatuwezi kuficha excitement yetu β tunamkaribisha rasmi CEO wa Anda GmbH (Germany) hapa Dar es Salaam kwa two days workshop ya nguvu kwa entrepreneurs, business leaders & changemakers!
THE TIME IS NOW β Siri ya mafanikio ya kesho imo kwenye tabia zako za leo.
Usikose nafasi hii ya kipekee ya kujifunza mbinu za leadership na business growth kutoka kwa wale waliofanikiwa kimataifa.
Book Your SLOT NOW!
Tukutane 29 & 30 May kwa safari ya mabadiliko ya kweli!
22/05/2025
SEVEN DAYS TO GO!!
Hii siyo workshop ya kawaida β ni tukio la mabadiliko ya kweli!
Tuna furaha kutangaza ujio wa CEO wa Anda GmbH (Germany) β mfanyabiashara na kocha wa kimataifa anayejitoa kuelimisha, kuwezesha na kuinua viongozi wa kesho.
Dar es Salaam tunasema: Karibu nyumbani kwa mabadiliko!
29 & 30 May tunakutana kwenye Leadership and Business Growth Workshop yenye mbinu halisi za mafanikio.
K**a bado hujapata nafasi yako β this is your sign. DM us now!
19/05/2025
π₯ Ready to Unlock the Leader Within and Take Your Business to the Next Level? π₯
If you're tired of feeling stuck, managing a team that lacks motivation, or running a business without real growthβ¦
Itβs time to change that.
π― Join the Leadership and Business Growth Workshop by STK Coaching β the ultimate experience designed to equip leaders, entrepreneurs, and business professionals with powerful tools to lead with clarity and scale with confidence.
β
Learn how to lead with purpose
β
Discover growth strategies that actually work
β
Build high-performing teams
β
Create systems that drive results
β
Network with like-minded achievers
π
Date: 29&30th May
π Location: Redcross Buildng opposite City Mall
β° 12 seats remains β this is your moment to lead and grow.
π Donβt wait for "someday." Become the leader your business deserves β today.
ποΈ Click "Book Now" to reserve your spot before itβs gone!
10/05/2025
here comes our special guest on Leadership and Business Growth Workshop
He is Vice Counsellor of MUM University
Welcome Prof M***a Assadπ
Mafanikio huanza na maarifa sahihi
KWA NINI HII SI YA KUKOSA?:
1οΈβ£ Utafundishwa na mtaalamu halisi
2οΈβ£ Fursa ya kuuliza maswali moja kwa moja β pata maarifa ya vitendo kwa changamoto zako binafsi.
3οΈβ£ Ni zaidi ya semina β ni mtandao wa viongozi na wafanyabiashara wachanga na waliokomaa.
Tumia nafasi hii adimu kujifunza kuwa mmoja wa viongozi bora. Ticket zimebaki chache β k**ata yako sasa!
***aAssad
08/05/2025
Tunasema asante kwa moyo wa dhati!
Tunapenda kutoa shukrani za pekee kwa AQ Online TV kwa kuwa mlezi rasmi wa habari (official media sponsor) kwenye Leadership and Business Growth Workshop yetu.
Ushirikiano wenu umetuletea mwanga, msukumo, na kuwapa washiriki wetu nafasi ya kufikiwa na ujumbe wetu kwa uwazi na ufanisi mkubwa.
Asante kwa kuamini maono yetu na kuwa sehemu ya safari ya kukuza viongozi na wafanyabiashara bora wa kesho.
K**a na wewe unataka kuwa sehemu ya harakati hizi za mabadiliko, usisite kuwasiliana nasi!
01/05/2025
Today we stand together in solidarity and strengthβit's International Labour Day! We recognize the sweat, effort, and dreams of every language! β"
1οΈβ£ Recognize the Contribution of Workers: There is no progress without a workforce. Give them motivation, respect, and a good working environment.
2οΈβ£ Promote Fair Practices: Invest in policies that protect justice, equality, and progress for all.
3οΈβ£ Leadership with Heart: The best leaders are those who are kind, listen, and leadβthat's how progress is made.
If you want to grow your business while building your people, join STK Coachingβwe'll nurture you to be a true leader!
26/04/2025
Leo tunaadhimisha kwa fahari muungano wa kihistoria wa Tanganyika na Zanzibar, ushuhuda wa dira ya viongozi wetu na matarajio ya wananchi wetu
Kwa miaka sitini na moja, dhamana hii imekuza utambulisho wa pamoja na moyo wa pamoja ambao unatufafanua k**a Watanzania
Tunatafakari safari ya umoja, tukisherehekea maendeleo na uimara uliolijenga taifa letu
Roho ya umoja iendelee kutuongoza kuelekea mustakabali mwema, na kuimarisha uhusiano unaotufunga
Heri ya Sikukuu ya Muungano kwa wote!ππππ
.me.desserts.cafe
promos
&businessgrowth
11/04/2025
JUMUAH MUNAWWAR β¨οΈβ¨οΈβ¨οΈ
WE ARE THANKFUL TO CAFE AFRICANO FROM ZANZIBAR TO BELIEVE ON THE IMPACT THIS WORKSHOP WILL BRING...
CafΓ© AFRICANO is the standard meet up point for Tourists in Zanzibar where variety of swahili,English, Arabian and other tastes of foods,drinks and coffee can be gabed... latte, cappuccino, esperaso....ππ
............................................................
Better late than never !! Scan for Registration or apply via the link below πππhttps://forms.gle/sHrr5iYfFu2pMPr5A
You can't wait wait to hear from Dr Angela Daalmann, a renowned consultant with 30+ years in the field,all the way from Anda gmbH, Germany .
AFRICANO Street town Zanzibar mindset growth EXTRA ORDINARIES.
07/04/2025
Kwa heshima na shukrani kwa Baba wa Taifa, Abeid Karume! π Siku hii ya maadhimisho, tunakumbuka juhudi zake za kujenga Taifa na kuelimisha jamii. STKCoaching inaunga mkono maadili ya uongozi, mabadiliko, na ustawi wa kila mtu
Komenti 'AMEN' k**a unamkubali Abeid Karume k**a mwanga wa Tanzania! π:
---------------------
With respect and gratitude to the Father of the Nation, Abeid Karume! π On this anniversary, we remember his efforts to build the Nation and educate the community. STKCoaching supports the values of leadership, change, and the well-being of everyone
Comment 'AMEN' if you accept Abeid Karume as the light of Tanzania! π: