FullSokatz

FullSokatz

Share

HABARI ZA SOKA

29/01/2020

Mbwana Samatta ndani ya Aston Villa 🙏

25/11/2019

Full Time.

25/11/2019

Kilimanjaro Queen wameshindwa kutetea ubingwa kwa Mara ya tatu mfululizo.

Kenya ndiyo mabingwa wapya wa Cecafa kwa wanawake mwaka 2019.

FT TANZANIA 0-2 KENYA.

Photos from FullSokatz's post 24/11/2019

Kikosi cha Polisi Tanzania kimefanya mazoezi ya mwisho katika uwanja wa Majaliwa Stadium tayari kwa mchezo wa kesho dhidi ya Namungo Fc.

24/11/2019

Kikosi cha Yanga Sc mwishoni mwa mwezi huu Septemba 29/2019 kitashuka dimbani kuwakabili Alliance Fc.

Mechi hiyo itwpigwa katika uwanja wa Ccm Kirumba " mwanza " majira ya saa 10:00 Jioni.

23/11/2019

Ruvu Shooting azidi kuwa kibonde mbele ya Simba Sc.

Full Time.

R.Shooting 0-3 Simba Sc
Miraji ⚽⚽
Tairon ⚽.

23/11/2019

Half Time.

23/11/2019

Kikosi cha Simba Sc vs R.Shooting.

22/11/2019

Full Time.

22/11/2019

Bao la pili la Yanga Sc 🔥 Balinya

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Dar Es Salaam