25/02/2026
YANGA DAMU
Daima Mbele nyuma mwiko
25/02/2026
25/02/2026
Goal Machine Prince Dube anawasubiria Gwantanamo
π π Dak 63
Yanga 3οΈβ£ - 0οΈβ£ Jkt Tanzania
β½οΈ Mudathir
π Kmc Complex
π π Dak 60
Yanga 2οΈβ£ - 0οΈβ£ Jkt Tanzania
β½οΈ Depu
π Kmc Complex
25/02/2026
ππππππ ππ ππππππ ππππ ππππ
Wakala wa wachezaji tokea nchini Uganda Sultan Atubo ambaye anamsimamia nyota mpya wa klabu ya Yanga Allan Okello ameweka wazi kuwa Okello anafurahia maisha ya Yanga.
"Okello anaifurahia Yanga na wao wanamfurahia, kwasasa yupo kwenye mazingira na level tofauti, sio sawa na alivyokuwa Uganda".
"Anajua, kujiunga na klabu kubwa k**a Yanga kunakuja na Pressure, ila anauamini uwezo wake"
Sultan Atubo - Wakala wa Allan Okello
25/02/2026
Klabu ya Simba Sc imeporomoka kutoka nafasi ya tano mpaka nafasi ya 8 kwenye viwango vya ubora wa vilabu barani Afrika ndani ya miaka mitano iliyopita vilivyotoka baada ya kutamatika kwa hatua ya makundi ya michuano ya CAF kwa msimu wa 2025/26.
Simba Sc ipo nafasi ya nane ikiwa na pointi 38 huku mahasimu wao, Young Africans Sc wakiwa nafasi ya 10 baada ya kukusanya pointi 35 kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita. Azam FC na Singida Black Stars wapo nafasi ya 35 kila mmoja akiwa na pointi 5.
1. πͺπ¬ Al Ahly - 66 pts
2. πΏπ¦ Sundowns - 58 pts
3. πΉπ³ Esperance Tunis - 53 pts
4. π²π¦ RS Berkane - 52 pts
5. πͺπ¬ Pyramids - 48 pts
6. πΈπ© Al Hilal - 39 pts
7. πͺπ¬ Zamalek - 39 pts
π. πΉπΏ ππ’π¦ππ - ππ π©ππ¬
9. π©πΏ USMA - 37 pts
ππ. πΉπΏ πππ§π π - ππ π©ππ¬
25/02/2026
Viingilio vya mchezo wetu wa leo dhidi ya JKT Tanzaniaπ°πͺπ½
22/02/2026
FTβ |
Namungo FC 0 π 1 Young Africans SC
03/02/2026
Next: AS FAR vs YANGA SC
Februari 07, 2026
CAF CLβ¦!
31/01/2026
π
π |
Young Africans SC 1 π 1 Al Ahly
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Telephone
Website
Address
1334553565
Dar Es Salaam