7d media

7d media

Share

Home of Football Headlines | Breaking news | Transfers | Official Statements | Results | Statistics.

All Leagues
EPL, LALIGA, LIGUE 1, BUNDESLIGA, SERIEA..
#football
#kijiweni_24_hrs

19/12/2022

Assist Leader
Triple C mwamba wa Lusaka Anaendelea kushika usukani kwenye vinara wa pasi za mwisho.

03/11/2022

Tatizo Lilianzia hapa.
Tangu lini na wakacheza k**a CB ?

kuweni makini mnavyopanga vikosi husika huku ni kuzitia gundu team zetu.

Anyway makosa hufanyika lkn tuwe makini.

06/10/2022

MWAMBA HUYU HAPA.
fundi wa mpira alikuwa nchini Burkina Faso akiwajibika katika majukumu ya timu ya taifa na baadae akakutwa na changamoto ya ugonjwa wa Uviko 19.
Tayari amerejea nchini kujiunga na kikosi cha kinachoendelea na mazoezi katika viunga vya vya Avic Town, Kigamboni.

Bila shaka atakuwepo Jumamosi dhidi ya kwa mkapa.

umeona nini kurejea kwa Aziz ki kikosini?


Photos from 7d media's post 06/10/2022

Msimamo wa makundi kwenye uefa champions league baada ya mechi za mzunguko wa tatu.

wanaoongoza kwenye makundi ni.
1.
2.
3.
4.
5.
6.
7.
8.

Ni team gani kubwa inakutia wasi wasi kwenye makundi?



05/10/2022

Vinara wa clean sheet.
Orodha ya magoli kipa wanao ongoza kwa clean sheet kwenye NBC Premier League mpka sasa.

1.
2.
3.
4.
5.



03/04/2022

Frank Lampard baada ya kupoteza mechi dhidi ya West ham united ambapo alipokea kichapo cha goli 2-1.
kwa matokeo hayo mabaya Frank Lampard anakua kocha wa kwanza wa Everton kupoteza michezo minne (4) ya kwanza ugenini.

je unaiona Everton ikishuka daraja msimu huu??

03/04/2022

Takwimu za chriss mugalu katika mchezo wa simba vs usgn.

je tunaweza kusema amerejea vizuri ana kismati tu.

03/04/2022

Takwimu za kuombea mkopo benki.

assume wewe ndo manager wa benk utatoa mkopo kwa takwimu hizi ?.

all in all bila ushabiki wala mapenzai Simba sc inatuwakilisha vyema kimataifa. inabidi tukubari hilo.

02/04/2022

JE GHANA WATALIPIZA KISASI???
✍️Mara Ya Mwisho Ghana 🇬🇭 Kukutana Na Uruguay 🇺🇾 Ilikuwa Ni Hii Hii Muchuano Ya Kombe La Dunia Hatua Ya Robo Finali Mwaka 2010 South Africa

✍️Na K**a Unakumbuka Kulitokea Tukio La Kikatili Lililofanywa Na Luis Suarez aliyeamua kugeuka kuwa Golikipa na kudaka mpira uliokua unaingia golini Na Kuipelekea Ghana Kushindwa Kuandika Historia Kwa Mara Ya Kwanza Africa Kufuzu Hatua Ya Nusu Finali.

✍️Kwa kumbukumbu za haraka haraka mshambuliaji nguli wa Ghana wakati ule Asamoah Gyan alikosa mkwaju wa penati baada ya penati yake kugonga nguzo na hovyo kushindwa kuipatia ghana ushindi.

✍️Sasa Safari Hii Kombe La Dunia Mwaka Huu Wamepangwa Group Moja.

✍️Je Ghana Wataweza Kulipiza Kisasi Ama Wataendeleza Uteja Kwa Uruguay!?

✍️Dondosha Maoni Yako !!

31/03/2022

Viwango vya FIFA vilivyotolewa kwa timu bora tarehe 31/03/2022

Tanzania imepanda kutoka nafasi ya 132 hadi 130.

top 10 ni
1.Brazil
2.Belgium
3.France
4.Argentina
5.England
6.Italy
7.Spain
8.Portugal
9.Mexico
10.Netherland

31/03/2022

OFFICIAL: Klabu ya BK Häcken ya Sweden 🇸🇪 imetangaza kukamilisha usajili wa mshambuliaji Aisha Masaka (18) akitokea Yanga Princess 🇹🇿

Masaka amesaini mkataba na timu hiyo hadi mwaka 2024.

"Nafurahi kuwa hapa, matumaini yangu ni kufunga magoli mengi ili kuisaidia timu"

Kauli ya Aisha mara baada ya kujiunga na timu hiyo.

31/03/2022

Kijana wa miaka 19 amehukumiwa kifungo cha wiki sita jela kwa kumtusi kibaguzi Marcus Rashford kwenye Twitter baada ya fainali ya Euro 2020.

Habari hii tumeileta kwasababu imetugusa maana kwa sisi watanzania tulio wengi tunapenda kutukana wachezaji wetu pindi wakifanya vibaya.

Sasa tujifunze kitu hapa.

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Address


Ilala
Dar Es Salaam