HK Viwanjani

Call Directions Website Contact the business

HK Viwanjani KARIBU UJIPATIE BIDHAA INAYOENDANA NA PESA YAKO ELECTRONICS DEVICES ZOTE KWA BEI NAFUU SANA Whatsapp πŸ“ž0625540370
Kawaida πŸ“ž0625540370

Habarika kispoti kwa kupata habari za michezo ulimwenguni

09/09/2026
08/09/2026

More Respectful

08/09/2026

V⁰

🚨 MAJIBU YA CHAMA BAADA YA KAULI YA HERISβ€œNadhani nimekaa kimya kwa muda wa kutosha, lakini sasa baadhi ya watu wameanza...
08/09/2026

🚨 MAJIBU YA CHAMA BAADA YA KAULI YA HERIS

β€œNadhani nimekaa kimya kwa muda wa kutosha, lakini sasa baadhi ya watu wameanza kuvuka mipaka!

Hii ni mitandao ya kijamii. Jambo moja ni la uhakika; kuna ukweli, lakini pia kuna watu wanaojaribu kuzungumza kwa ajili ya kutafuta umaarufu, likes na comments.

Lakini naamini kusimama na kusema ukweli hakupaswi kutafsiriwa vibaya au kutumiwa dhidi yangu, kwa sababu nina ukweli wote pamoja na ushahidi.

Ama tunafanya hivi kwa ajili ya burudani au mnyamanze kimya!. Mimi naweza kucheza mchezo huu siku nzima na bado nitasimama kwenye ukweli.

Kwa nini podcast yangu imewaogopesha?

Tengeneza post nyingine, nami nitaweka chats zote hapa.”.

THIS WEEK ON CAF CHAMPIONS LEAGUETotalEnergies CAF Champions League & Confederation Cup
07/09/2026

THIS WEEK ON CAF CHAMPIONS LEAGUE
TotalEnergies CAF Champions League & Confederation Cup

THIS WEEEK ON TotalEnergies CAF Champions League & Confederation Cup
07/09/2026

THIS WEEEK ON TotalEnergies CAF Champions League & Confederation Cup

Mtibwa sugar SC Tumefanikiwa kuinasa saini ya mlinzi/mshambuliaji Hans Yunus Hassan kutoka Mbuni.Karibu Mtibwa Sugar πŸŽ‹πŸŽ‹πŸŽ‹...
07/09/2026

Mtibwa sugar SC
Tumefanikiwa kuinasa saini ya mlinzi/mshambuliaji Hans Yunus Hassan kutoka Mbuni.
Karibu Mtibwa Sugar πŸŽ‹πŸŽ‹πŸŽ‹


Address

Ferry
Kigamboni

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when HK Viwanjani posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to HK Viwanjani:

Share