Mahaba, mapenzi na maisha

Mahaba, mapenzi na maisha

Share

Kufundishana na kuelimishana kufurahia mapenzi penzini

21/10/2025

Unakumbuka mazuri gani kutoka kwa mpenzi wako wa zamani.....??

09/03/2025

UONGO GANI MKUBWA ULIONGOPEWA NA X WAKO UKIKUMBUKA UNAJIONA MJINGA....??

22/01/2024

JE ULIYENAYE NI CHAGUO LAKO AU NDIO BORA SIKU ZIENDE TU........

16/11/2023

HILI NALO MPAKA UAMBIWE.....HISIA ZISIKUFANYE USAHAU KAZI YA UBONGO........

HAKUNA MTU ANAYEMKALIA MTU ANAYEMPENDA KWANI DAIMA HUISHI MIOYONI MWAO NA KUWAKOSA NI ADHABU KWAO.............

17/05/2023

Kila mtu hupenda kuwa karibu na kile kinachoupendeza moyo wake.......

Moyo wa mtu ukishajaa taswira ya mtu umpendaye ndani yake basi mtu huyo hujisikia Raha kuwa karibu na chaguo la moyo wake.......

Hivyo basi zawadi pekee na ya thamani Kwa wapendanao ni kufunga ndoa......

Namna pekee ya kuonesha thamani na maana ya upendo kwa mtu unayesema unampenda ni kufunga ndoa na huyo mtu....

Ukiona mtu mpo kwenye mahusiano zaidi mwaka lakini Suala la kuoana analipiga piga chenga basi jua kuwa kuna mmoja kamfanya mwenzie kuwa kisima cha burudani...........

Wasi wasi ndio akili......

Chaguo ni lako kuwa uendelee kutumika k**a big G Kisha ukiisha utamu utemwe au uushinde moyo na uuthamini mwili wako.....

13/05/2023

UKWELI MCHUNGU....

Watu hutenga muda kwa ajili ya watu au vitu wanavyovipenda na kuvithamini.......

Ukiona mtu au watu hawana muda na wewe basi jua wewe sio kapaumbele Chao kwenye maisha yao........

Unachotakiwa kufanya sio kujishikiza kwenye maisha ya watu bali unatakiwa kuishi maisha yako......

Inauma kwa kuwa anaweza kuwa mpenzi au mchumba au hata ndugu......lakini huna budi kuushika moyo wako na kuheshimu utu wako......

02/04/2023

Kupenda usipopendwa ni sawa na kushikilia kaa la moto......

Hakuna utakachopata zaidi ya maumivu na vilio vya uchungu.....kwani pasipo na upendo hakuna thamani.....

Ishinde nafsi yako jitoe kwenye kifungo Cha jela ya mapenzi......

Inauma na ni vigumu lakini ndio dawa pekee ya kutoka utumwani.....

Kung'ang'ania usipopendwa ni kuudhalilisha utu wako.....jipe thamani,jipende, jikubali jitambue.....pigana na moyo wako unaokudanganya kubakia jehanam badala ya Pepo.........

12/03/2023

UTAMU WA PENZI NI KULIFURAHIKIA PENZI NA SIO KULIHANGAIKIA PENZI.......

MUNGU AIPOZE MIOYO YA WANAOSUMBUKIA PENZI.......

MUNGU AZIJAZE UPENDO MIOYO INAYOFURAHIKIA PENDO.......

23/02/2023

HUWEZI KUTEMBEA NA MUWA K**A FIMBO LAZIMA UTAULA TU.........NIENDELEE KUFAFANUA AU NIMESHAELEWEKA........???

21/02/2023

UZURI WAKO UNAWEZA KUKUFANYA UPATE NDOA....LAKINI TABIA ZAKO NDIO ZITAAMUA MUDA GANI UKAE KWENYE NDOA.......

14/02/2023

Sijuti kukufahamu ila najuta kukuamini....

Kasuku ndege wangu leo umekuwa bundi...

MAPENZI NI KITU KINACHOWEZA KUKUFANYA UIFURAHIE DUNIA......

LAKINI MAPENZI YANAWEZA KUKUFANYA UJUTE KUZALIWA DUNIANI.......

MUNGU ATUSIMAMIE TUWAPATE WATAKAOTUFANYA TUIFURAHIE DUNIA NA SIO KINYUME CHAKE.........

14/02/2023

KUWA MAKINI...... SHIDA ZINA TABIA YA KUTUKUTANISHA NA WATU TULIOKUWA TUNAWADHARAU...........

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Kigogo Mburahati
Dar Es Salaam