25/08/2015
Nigeria hawatoki hapa!!!!!!!!!!!!!
Pata Habari zote za michezo kutoka Tanzania na Duniani kote kupitia Talk 2 Tz
PATA HABARI MBALIMBALI ZA MICHEZO KUTOKA TANZANIA NA PANDE ZOTE ZA DUNIA KUPITIA "ONGEA NA TANZANIA"
25/08/2015
Nigeria hawatoki hapa!!!!!!!!!!!!!
17/02/2015
17/02/2015
04/02/2015
HAPATOSHI LEO MKWAKWANI!!!!!!!!!!!!!!!!!
Makamu bingwa wa ligi kuu Tanzania bara timu ya Yanga leo inajitupa uwanjani kumenyana na Wagosi wa kaya timu ya Coastal Union ya mjini Tanga katika mtanange wa ligi kuu.
Yanga ambayo ilitoka suluhu katika mchezo uliopita dhidi ya timu ya Ndanda kutoka Mtwara leo wataingia uwanjani ili wapate ushindi ambao utawaweka kileleni mwa ligi kuu Tanzania bara ambapo bado mabingwa watetezi timu ya Azam inaongoza wakiwa na point 21.
Hata hivyo hautakuwa mchezo mwepesi hata kidogo kwa sababu Yanga imekuwa haipati matokeo mazuri kwa siku za hivi karibuni katika uwanja wa ccm mkwakwani na hivyo kuingia uwanjani na tahadhari kubwa wakikumbuka kipigo walichokipata katika uwanja huo dhidi ya Mgambo JKT wa mabao 2-1 na hivyo kupoteza matumaini ya kulinda kombe lao.
Yanga inaweza ikapangwa hivi Bartez,Mbuyu Twite,Oscar Joshua,Rajab Zahir,Nadir Haroub,Said Makapu,Saimon Msuva,Salum Telela,Amisi Tambwe,Kpar Sherman na Andrew Countinho.
HARRY REDNAPP ABWAGA MANYANGA QPR!!!!!!!!!!!!
Kocha wa timu ya soka ya Queens Park Rangers Harry Rednapp amejiuzulu kuifundisha klabu hiyo kutokana na tatizo la goti ambapo anatarajiwa kufanyiwa oparesheni karibuni na kumlazimu kukaa nje kwa wiki kadhaa.
Kocha huyo ambaye amewahi kuzifundisha vilabu vya West Ham United, Portsmouth, Southampton and Tottenham Hotspur, na mwaka 2012 kuichukua timu ya QPR amesema "Kwa bahati mbaya nahitaji kufanya oparesheni yangu ya goti ambapo itanilazimu kuwa mbali na kibarua changu kwa wiki kadhaa" Kocha huyo ameiacha QPR ikishika nafasi ya pili kutoka mwisho ikiwa na pointi 19 katika michezo 23 waliocheza.
"Simaanishi nitakuwa nje kabisa ya uwanja wa mazoezi kila siku lakini sitoweza kujitoa kwa asilimia mia moja na hivyo nafikiri ni vyema mtu mwingine akachukua nafasi yangu".
Mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Uingereza na QPR Les Ferdinand na Chris Ramsey wameteuliwa k**a makocha wa muda.
"Napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru Harry kwa kila jambo alilofanya hapa k**a kocha mkuu wa QPR"amesema Tony Fernandes mwenyekiti wa QPR ambaye tetesi zinasema hakuwa na mahusiano mazuri na Harry Redknapp.
Makocha k**a Glenn Hoddle na Tim Sherwood wanapewa nafasi kubwa kumrithi Harry Rednapp k**a kocha mkuu wa QPR.
ANGALIA WALIONGIA NA WALIOTOKA EPL KATIKA DIRISHA DOGO!!!!!!!!!!
ARSENAL
Ins: Krystian Bielik (Legia Warsaw, undisclosed), Gabriel Paulista (Villarreal, £14m)
Outs: Lukas Podolski (Inter Milan, loan), Yaya Sanogo (Crystal Palace, loan), Joel Campbell (Villarreal, loan), Benik Afobe (Wolves, undisclosed), Matt Macey (Accrington, loan)
ASTON VILLA
Ins: Carles Gil (Valencia, undisclosed), Scott Sinclair (Manchester City, loan)
Outs: Darren Bent (Derby, loan), Gary Gardner (Nottingham Forest, loan), Daniel Johnson (Preston, undisclosed), Chris Herd (Wigan, loan), Jordan Graham (Wolves, undisclosed), Callum Robinson (Preston, loan)
BURNLEY
Ins: Michael Keane (Manchester United, undisclosed)
Outs: Alex Cisak (Leyton Orient, loan)
CHELSEA
Ins: Juan Cuadrado (Fiorentina, £26.1m)
Outs: Fernando Torres (AC Milan, undisclosed), Marko Marin (Anderlecht, loan), Mark Schwarzer (Leicester, free), Todd Kane (Nottingham Forest, loan), Nathaniel Chalobah (Reading, loan), Tomas Kalas (Middlesbrough, loan), John Swift (Swindon, loan), Andre Schurrle (Wollfsburg, undisclosed), Lewis Baker (Sheff Wed, loan), Alex Kiwomya (Barnsley, loan), Mohamed Salah (Fiorentina, loan), Stipe Perica (Udinese, loan), Ryan Bertrand (Southampton, £10m)
CRYSTAL PALACE
Ins: Yaya Sanogo (Arsenal, loan), Shola Ameobi (free agent), Jordon Mutch (QPR, undisclosed), Pape Souare (Lille, undisclosed), Andreas Breimyr (Bryne FK, undisclosed) Wilfried Zaha (Manchester United, undisclosed), Keshi Anderson (Barton Rovers, undisclosed), Lee Chung-yong (Bolton, undisclosed)
Outs: Stuart O'Keefe (Cardiff, undisclosed), Lewis Price (Crawley, loan), Jake Gray (Cheltenham, loan), Zeki Fryers (Rotherham, loan), Jack Hunt (Rotherham, loan), Andreas Breimyr (Bryne FK, loan), Peter Ramage (Barnsley, loan extension), Andy Johnson (released), Barry Bannan (Bolton, loan)
EVERTON
Ins: Aaron Lennon (Tottenham, loan)
Outs: Samuel Eto'o (Sampdoria, undisclosed), Chris Long (Brentford, loan), Hallam Hope (Bury, undisclosed), Matthew Kennedy (Cardiff, undisclosed), Conor McAleny (Cardiff, loan), Conor Grant (Motherwell, loan)
HULL
Ins: Dame N'Doye (Lokomotiv Moscow, undisclosed)
Outs: Tom Ince (Derby, loan), Greg Luer (Port Vale, loan)
LEICESTER
Ins: Mark Schwarzer (Chelsea, free), Andrej Kramaric (Rijeka, £9m), Robert Huth (Stoke, loan)
Outs: Tom Hopper (Scunthorpe, loan extension), Jack Barmby (Rotherham, loan), Callum Elder (Mansfield, loan), Adam Dawson (Bristol Rovers, loan)
LIVERPOOL
Ins: None
Outs: Suso (AC Milan, undisclosed), Oussama Assaidi (Al Ahli Club, undisclosed), Connor Randall (Shrewsbury, loan), Kevin Stewart (Cheltenham, loan), Lloyd Jones (Cheltenham, loan), Jack Dunn (Cheltenham, loan), Sheyi Ojo (Wigan, loan)
MANCHESTER CITY
Ins: Wilfried Bony (Swansea, £28m)
Outs: Matija Nastasic (Schalke, loan), Scott Sinclair (Aston Villa, loan), Devante Cole (MK Dons, loan), George Evans (Scunthorpe, loan), Sinan Bytyqi (SC Cambuur, loan), Jordy Hiwula (Walsall, loan)
MANCHESTER UNITED
Ins: Victor Valdes (free agent), Sadiq El Fitouri (Salford City, undisclosed), Andy Kellett (Bolton, loan)
Outs: Michael Keane (Burnley, undisclosed), Will Keane (Sheff Wed, loan), Ben Amos (Bolton, loan), Joe Rothwell (Blackpool, loan), Marnick Vermijl (Sheff Wed, undisclosed), Wilfried Zaha (Crystal Palace, undisclosed), Ben Pearson (Barnsley, loan), Sam Johnstone (Preston, loan), Jesse Lingard (Derby, loan),
Saidy Janko (Bolton, loan), Darren Fletcher (West Brom, free transfer)
NEWCASTLE
Ins: None
Outs: Mapou Yanga-Mbiwa (Roma, £5.5m), Hatem Ben Arfa (released), Davide Santon (Inter Milan, loan), Kevin Mbabu (Rangers, loan), Haris Vuckic (Rangers, loan), Remie Streete (Rangers, loan), Shane Ferguson (Rangers, loan), Gael Bigirimana (Rangers, loan)
QPR
Ins: Mauro Zarate (West Ham, loan), Ryan Manning (Galway, compensation)
Outs: Jordon Mutch (Crystal Palace, undisclosed), Max Ehmer (Gillingham, loan extension), Bruno Andrade (Stevenage, loan)
SOUTHAMPTON
Ins: Eljero Elia (Werder Bremen, loan), Filip Djuricic (Benfica, loan), Ryan Bertrand (Chelsea, £10m)
Outs: Jack Cork (Swansea, £3m), Jos Hooiveld (Millwall, loan)
STOKE
Ins: Philipp Wollscheid (Bayer Leverkusen, loan)
Outs: Maurice Edu (Philadelphia Union, undisclosed), Ryan Shotton (Derby, undisclosed), Robert Huth (Leicester, loan), George Waring (Barnsley, loan)
SUNDERLAND
Ins: Jermain Defoe (Toronto, undisclosed)
Outs: Jozy Altidore (Toronto, undisclosed), Mikael Mandron (Shrewsbury, loan), Charis Mavrias (Panathinaikos, loan), Scott Harrison (Hartlepool, undisclosed), Cabral (released)
SWANSEA
Ins: Kyle Naughton (Tottenham, £5m), Jack Cork (Southampton, £3m), Nelson Oliveira (Benfica, loan), Matt Grimes (Exeter, undisclosed)
Outs: Wilfried Bony (Manchester City, £28m), Rory Donnelly (Tranmere, loan), Ryan Hedges (Leyton Orient, loan), Liam Shephard (Yeovil, loan), Jazz Richards (Fulham, loan)
TOTTENHAM
Ins: Dele Alli (MK Dons, undisclosed)
Outs: Kyle Naughton (Swansea, £5m) Milos Veljkovic (Charlton, loan), Dominic Ball (Cambridge, loan), Kenneth McEvoy (Colchester, loan), Grant Hall (Blackpool, loan), Nathan Oduwa (Luton, loan), Jordan Archer (Millwall, loan), Emmanuel Sonupe (St Mirren, loan), Benoit Assou-Ekotto (released), Aaron Lennon (Everton, loan), Dele Alli (MK Dons, loan)
WEST BROM
Ins: Callum McManaman (undisclosed), Darren Fletcher (Man Utd, free transfer)
Outs: Donervon Daniels (Aberdeen, loan), Bradley Garmston (Gillingham, loan), Luke Daniels (Scunthorpe, undisclosed)
WEST HAM
Ins: Doneil Henry (Apollon Limassol, undisclosed)
Outs: Mauro Zarate (QPR, loan), Ricardo Vaz Te (released), Sean Maguire (Accrington, loan), Jamie Harney (Colchester, free), Paul McCallum (Portsmouth, loan), Blair Turgott